Udhalilishaji wa Kijinsia Arabuni wavuka Mipaka - Achezea vibao Hadharani

Udhalilishaji wa Kijinsia Arabuni wavuka Mipaka - Achezea vibao Hadharani

Hawa jamaa ndio wametuletea Hizi dini huku Afrika ila sasa wao hawaheshimu kabisa Wanawake.
Wabillah Taufiq
Nipo Nje Kidogo na Maswala ya dini..

Kwani Hapo Kosa Ni la Nani?
Nani kadhalilishwa?
Ingekuwa Tanzania Ingekuwaje?
je ni ruhusa Kumpiga Kibao Askari wa Jeshi akiwa kavaa Uniform??

Mbona Kama Iko wazi kabisa Bila Kujali Dini wala Kuwa Mnafiki Huyo mwanamke anaelekezwa Vizuri kuhusu Ruhusa ya Kupita Hapo huyo mwanamke wa Nyuma Anaelewa na Anarespond kwa Kuitikia..

Ila Mwanamke aliye mbele Anakuwa na Kibuli kabisa na Kinaonekana Badala ya Kutii Maagizo anaanza kwa Kumrushia Kofi Askari..

So askari na yeye ni Binadamu kavumilia Sana Kaona arudishe..

Lets Turn the Table..
Ingekuwa ni Mwanaume (Huyo mwanamke) kapigwa Kofi baada ya kurudisha Tungetuma Kwenye Mitandao kusema ni Udhalilishaji? Je ingekuwa Topics..

Wanawake Mnatakiwa Mjiheshimu Mkiheshimiwa na Mkipewa Priority haimaanishi tunashindwa Kuichukua Heshima Tuliyowapa..

Mwenye Kosa Hapo ni Mwanamke..
Just imagine kama Ndo angempiga Kibao Askari wa Tanzania sasa Hivi tungefata Mwili Amana au Mwananyamala..

Tujifunze Kubadilika..
Ukipewa Heshima Heshimika
 
Mwanamke akijifanya ni mwanaume basi anastahili kuhudumiwa kama wanaume wengine.

Haiwezekani umpige kofi mwanaume halafu akutazame tu (huo utakua unyonge na dharau ya hali ya juu)

Aseeee!!! Hata kama tupo mbinguni tunaimba na kusifu, Mwanamke ukinipiga kofi nakurudishia ujazo,mpaka malaika wafike kugombelezea utakua ushavimba mashavu.

Kama kazoea kumzaba makofi mumewe inabidi atambue huku nje wanaume tupo tofauti.

BTW nje ya mada:
 
Nipo Nje Kidogo na Maswala ya dini..

Kwani Hapo Kosa Ni la Nani?
Nani kadhalilishwa?
Ingekuwa Tanzania Ingekuwaje?
je ni ruhusa Kumpiga Kibao Askari wa Jeshi akiwa kavaa Uniform??

Mbona Kama Iko wazi kabisa Bila Kujali Dini wala Kuwa Mnafiki Huyo mwanamke anaelekezwa Vizuri kuhusu Ruhusa ya Kupita Hapo huyo mwanamke wa Nyuma Anaelewa na Anarespond kwa Kuitikia..

Ila Mwanamke aliye mbele Anakuwa na Kibuli kabisa na Kinaonekana Badala ya Kutii Maagizo anaanza kwa Kumrushia Kofi Askari..

So askari na yeye ni Binadamu kavumilia Sana Kaona arudishe..

Lets Turn the Table..
Ingekuwa ni Mwanaume (Huyo mwanamke) kapigwa Kofi baada ya kurudisha Tungetuma Kwenye Mitandao kusema ni Udhalilishaji? Je ingekuwa Topics..

Wanawake Mnatakiwa Mjiheshimu Mkiheshimiwa na Mkipewa Priority haimaanishi tunashindwa Kuichukua Heshima Tuliyowapa..

Mwenye Kosa Hapo ni Mwanamke..
Just imagine kama Ndo angempiga Kibao Askari wa Tanzania sasa Hivi tungefata Mwili Amana au Mwananyamala..

Tujifunze Kubadilika..
Ukipewa Heshima Heshimika
Umeiweka vizuri sana kiongozi nashangaa how people are so prejudiced wamesharuka na dini. Wanaadamu kila mtu anajiamini na dini yake ndio ipo sahihi na ya mwenzake haipo sahihi, wakati tumezaliwa tukiwa vichanga very helpless tukakuwa tukazikuta hizi dini kwa wazazi wetu tukakua nazo na baada ya kuwa na akili tunajudge dini za wenzetu🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom