Injinia Hersi: Rais Samia atoa ndege kuipeleka Yanga Mbeya

Ushawahi kumsikia akiiponda Yanga?
Sikuwahi kumsikia, lakini zile baraka zake kwa Bashite, BMT na figisu kwa MANJI ambazo ziliiumiza zaidi YANGA kuliko hata huyo MANJI mwenyewe ni ishara tosha kuwa hakuwa na mapenzi na YANGA.

Mungu akikupa kilema hukupa na mwendo wake, ashukuriwe Mungu kwa kutupatia MWINYI ZAHERA ambae aligeuka kuwa kocha mfadhili, mlezi na mshauri wa timu.

Ile haikuwa timu ya kushika nafasi ya pili, ilikuwa ni ya kushuka daraja lakini cha ajabu ilikuwa inashinda pasipotegemewa kushinda.
 
Manji alikuwa na matatizo naye binafsi hayahusiani na Yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…