edward93
JF-Expert Member
- Jun 27, 2015
- 562
- 1,347
Mukoko alikua na mkataba na as vita ila Tuisila ndio alikua as vita kwa mkopo na hata leo kasema hvyo kwnye interview! Kuhusu coach ulitaka aseme anatokea wapi? Hata kama alifukuzwa ila sio ndio alipotokea, mfano leo ukimchukua uchebe awe coach wako utosema ametokea simba kisa alifukuzwa muda? Na wakat hakuna timu nyingne aliyoenda? Au ultka aseme ametokea nyumban?
Sasa ww na yy nani muongo?
Sasa ww na yy nani muongo?