Injinia Hersi ulishaharibu tangu mwanzo na sasa hatuna namna zaidi ya kuipongeza Simba kwa ubingwa

Mpumbavu kwenye one and two
 
Mtu anataka kocha awe na mapenzi na timu halafu kocha mwenyewe sio mtanzania. Hiyo haipo kabisa.

Kuna kocha juzi tu kaitema Kmc kakimbulia kwenye timu yetu. Hao wote ni waajiriwa likija dau nono wanatembea. Hata iwe mimi pesa kwanza mapenzi baadae. Yule shabiki lialia wa Yanga Mwaisa angekuwa mwehu kukataa of ya kuwa shabiki wa Azam wakati anatoka zake Nditu huko maisha magumu. Usione wachezaji ulaya wanaenda Sauidia, maisha ni pesa tukiachana na Mungu.
Acha aende akapige mpunga hata wakivunja mkataba anakula pesa ndefu kama fidia.
 
Sasa hapo Eng Hersi kakosea nini? Coach kawaita mezani viongozi akafuata vigezo vya kuvunja mkataba na kavunja mkataba
Nani na Ramovic hawafanani kila mtu ana vipaumbele vyake kwenye maisha
Nonsense
Kazi yake kama Rais ni kulinda maslahi ya yanga kwa namna yoyote ile

Aliapa kufanya hivyo na anatakiwa atimize tuache kutetea uzembe
Kwanini asingemwambia asubiri mpaka msimu uishe aende?

Mbona kwa Nabi aliweza?
 
Mkuu mimi naona hujanielewa

Simaaniishi asiondoke lakini kaiachia project yake njiani, natambua kila.mtu anataka pesa

Lakini angesubiri mwisho wa msimu asepe zake kama mwenzake Nabi sasa hapa tumepata kazi ya kuanza upya tena kama utakumbuka Ramovic hata wachezaji alikuwa wengine majina hawajui mpaka leo sasa vipi huyu mpya?

Team kaachiwa makamu huku Rais yuko busy na mambo yake huko ACA
 
Mzee magoma alisema yanga kuna slow pancher ..tumtafute atuonyeshe ... Mnaishia kumtukana
 
Reactions: Tui
Mkuu Nabi kubaki mpaka mwisho hakupenda. Cv yake ilikuwa inaelekea kuchafuka zaidi hivyo alilazimika kubaki kuijenga Cv yake. Kumbuka alitakiwa kufungashwa vilago baada ya kufanya vibaya kimataifa. Mechi ya Club Africain ndio ikawa mapinduzi yake na kuongezewa muda mwaka mmoja mbele. Kufika fainali ya shirikisho kukamfungulia milango kwa kuwa alikuwa amejitangaza tayari. Zilipokuja offer nono hakutaka kusubiri hata alipobembelezwa kubaki. Najua unakumbuka namna gani wakina Hersi walihangaika kumbakiza ilishindikana. Hakuna kocha anaweza kukataa mpunga mrefu. Pesa ni maisha na project ni za timu husika. Hata huko anakoenda atakuta project ya timu itabidi aende nayo akishindwa wanamfungasha vilago
 
Mzee magoma alisema yanga kuna slow pancher ..tumtafute atuonyeshe ... Mnaishia kumtukana
Kuna za mjini Kocha mpya hana vigezo vya kuwa Kocha wa Ligi ya Tanzania.Hana CAF Dipoma A ambayo ndio kigezo.Kocha. ana UEFA A wakati kigezo ni UEFA PRO..Yajayo yanafurahisha.
 
Nonsense
Kazi yake kama Rais ni kulinda maslahi ya yanga kwa namna yoyote ile

Aliapa kufanya hivyo na anatakiwa atimize tuache kutetea uzembe
Kwanini asingemwambia asubiri mpaka msimu uishe aende?

Mbona kwa Nabi aliweza?
Yanga ana budget ya kulipa mshahara wa million 100 Kwa kocha?
Mbona unaongea kama layman yaani budget ni kulipa million 36 timu imetokea inamtaka kocha wako wameniwekea million 100
Wewe ndo Rais utamfanyaje kumbakiza kocha
 
Yanga ana budget ya kulipa mshahara wa million 100 Kwa kocha?
Mbona unaongea kama layman yaani budget ni kulipa million 36 timu imetokea inamtaka kocha wako wameniwekea million 100
Wewe ndo Rais utamfanyaje kumbakiza kocha
Nabi mwenyewe alipoona anapigiwa simu za offer nono aligoma kusaini mkataba mpya. Unaenda Kaizer wanalipa 150M-250M kwa kocha. Nani atakataa. Unamzuiaje huyo mtu. Hersi tu akiambiwa na Al Ahly aende kwenye management ya timu atalipwa 150M per month anasepa Yanga.
 
Hawa wanadhani makocha na wachezaji wapo kama sisi Wanachama
 
Tulia wewe! Subiri ligi iishe watu wanajua wanachokifanya mkuu
 
Ona huyu kuku
 
Yanga bingwa kama huamini basi
Hamia huko timu ya Rage
Watu kama ninyi ndiyo mtaji wa viongozi uchwala.Nilimkosoa injinia alipowadharau waliomsaidia kama manara hata kumwondoa gamondi alijichanganya,tatizo kubwa mafanikio yaliwalevya na kuamini vichwa vyao tu bila kuthamini michango ya wenzao.Tunaipenda yanga kwenye shida na Raha ila siyo ulete kiburi timu ipolomoke alafu unataka tuwe pamoja hiyo hapana,tutakuambia ukweli Ili tatizo litatuliwe.
 
Elewa mkuu Nabi aliondoka yanga mkataba ukiwa umeisha

Hakuvunja mkataba hivi kwanini mnakuwa wagumu kuelewa?
 
Unaongea nonsense mkuu

Nabi aliondoka yanga akiwa kamaliza mkataba sasa Ramovic mkataba umevunjwa huoni tofauti?

Jitahidi usome kuelewa sio kujibu kwa taarifa yako Nabi wakati mkataba ulipobaki mwaka mmoja alikuwa tayari na ofa FAR Rabat ila akaamua kumalizia mwaka uliobaki ndiyo akaenda au unadhani hapendi hela pia?

Jaribu kuwa muelewa sio unajibu tu ili mradi Ramovic ameikimbia project yake mwenyewe atakuwa kama yule Sven amekuwa intermediate coach anatanga tanga na inaua CV yako pia .

Uwe unafikiria mbali sawa?
 
Analeta ushabiki wa kitoto Karne hii yaani yeye analeta mambo ya kale wakubwa hawakosei na wasiambiwe.
 
Ile kurjuan ya Mzee Magoma sasa imeanza kuchanganya
 
Gamondi ilikuwa laZima aondoke alianza kuharibu dressing room
Wachezaji anawapekeka bar
Anabagua wachezaji wasio rafiki zake hawapi nafasi, anawap nafasi walevi wenzio
Kumwachia bench Kibwana akiwa fit na kuchezesha Nkane kama mlinzi kulia
Hivi mle mna walevi kumbe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…