Injinia Hersi ulishaharibu tangu mwanzo na sasa hatuna namna zaidi ya kuipongeza Simba kwa ubingwa

Tunarudi kule kule tena mkuu
Ramovic ameondoka kati kati ya mkataba wake mwanzo kabisa akipokea ofa nono

Nabi alikuwa na mkataba wa miaka miwili cash kusema aliongeza mmoja ni uzushi na uongo

Yanga hawakuwa na mpango wa kumfukuza Nabi kwa maana alikuwa anajenga team hata Rais alisema wazi msimu ule tumpe muda mpaka msimu ujao ndio tuanze kuona matunda sasa wewe unaleta uzushi mkuu?

Sasa kama Nabi alitimiza project aliyopewa abaki anafanya nini? Na alishakuwa na ofa tangu muda sana akachagua kumalizia project yake?

Kwa taarifa yako tayari alikuwa anajua pa kwenda before hata ile fainal ya CAFCC ila akachagua kumaliza mkataba wake maana ulikuwa umekaribia kuisha.

Pesa kila mtu anapenda na Nabi hakufukuzwa wala Ramovic hajafukuzwa wameondoka kwa namna moja pesa tu lakini scenario tofauti Ramovic amejiharibia tayari CV yake mbeleni

Yuko wapi benchika? Huko ashatimulizwa nadhani CV yake imeshachakaa mapema sana

Fikiria
 
Mkuu, Wanaompa hizo pesa walimtaka sasa hivi. Yanga ingepanda dau chap abaki. Mpira maslahi.

Ukiambiwa achana na JF njoo mafedha forum utalipwa kila hoja utaendelea kukaa humu ukimalizia project zako za uandishi?
 
Hapana hapa nipo kwa ajili ya kusocialize na pia nina sehemu ya kutafuta pesa kwahiyo kwangu vyote vina umuhimu wake

Narefresh mind hapa kwa afya ya akili na kutafuta pesa kwa ajili ya future yangu
 
Reactions: Tsh
Nishakwambia ulitaka Rais afanyeje hana budget ya kulipa million 102 Kwa mwezi na kocha ashawekewa hela mezani na anavunja mkataba anaondoka

Nabi na Ramovic ni tofauti
Kama Nabi alikuwa muungwana kuheshimu project na kukataa pesa awali ni tofauti na Ramovic, yeye alivoona pesa ndefu anataka kuondoka
 
Haya sio mapenzi, haya ni mahaba.
 
Hapana hapa nipo kwa ajili ya kusocialize na pia nina sehemu ya kutafuta pesa kwahiyo kwangu vyote vina umuhimu wake

Narefresh mind hapa kwa afya ya akili na kutafuta pesa kwa ajili ya future yangu
Ok boss, Sasa sehemu yako ya kupiga pesa ukipewa fursa ya kupiga pesa zaidi hutoichukua mpaka umalize hicho unachofanya hapo ulipo?
 
Mimi mwenyewe kuna mambo nimeyaona nikasema to hell.
Na hivi wame muondoa huyu kocha ndiyo kabisaa.
Haiwezekani timu inakwendakwenda tu halafu viongozi hawawajibiki kutu update wanachama.
 
Nonsense kabisa. CV ya Ramovic ikiharibika inakuuma nini? Unafahamu mkataba wa Ramovic ulikuwa unaisha lini? Kuna project ya mwaka mmoja? Project ni ya club husika sio coach. Hiyo project unayoing'ang'ania ya Ramovic ni ipi?
 
Akili fupi unayo
Project ni ya club na kocha unapewa time limit kwanza utufikishe wapi kwenye project yetu

Ramovic aliambiwa aifikishe team nusu final lakini alishindwa wewe unaelewa project ni nini? Au kichwa cheupe tu?
 
Una uhakika kuwa saidi atapewa mshahara wa million 100 huko anakoenda?
 
Akili fupi unayo
Project ni ya club na kocha unapewa time limit kwanza utufikishe wapi kwenye project yetu

Ramovic aliambiwa aifikishe team nusu final lakini alishindwa wewe unaelewa project ni nini? Au kichwa cheupe tu?
Shida ni mwenye akili fupi siku zote anamuona mwingine ana akili fupi. Angalau umerudi kwenye akili zako kidogo umeelewa project ni ya timu sio muda wote umekazana ameiacha project yake njiani. Project gani? Angalia uliyoyaandika hapa ndio utaujua ubongo wako kuwa ni debe kutika hujui unaongea nini
 
Huyo dogo ana akili za Wanachama wa Rage
Yaani hata ukimwelekeza anajifanya anajua kumbe hajui kitu
Project ni ya timu, coaches na players hubadilika
Yaani timu ina project ya miaka 10 halafu utegemee kocha na wachezaji wakae kwenye timu yako miaka 10
 
Eeeh
 
Madunduka mnahangaika sana na Yanga yetu. Si mtulie na mkonsetreiti na akina Deborah?!!!
 
We Ndio unapuyanga what is team?
Team lazima uwe na wachezaji na coach,Kama unajenga team imara lazima uzuie wachezaji na kocha wabaki
 
Haelewi kitu amekazana Ramovic kaicha project yake njiani. Kila kocha akija na project au malengo yake hiyo timu itakuwa ya hovyo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…