Brazil - Red Bull Bragantino - Results, fixtures, squad, statistics, photos, videos and news - Soccerway
Brazil - Red Bull Bragantino - Results, fixtures, squad, statistics, photos, videos and news - Soccerwayus.soccerway.com
Huyu mchezaji ni mzuri sana tuvumilie tu
Huyo jamaa labda hujamuona vizuri, yupo confortable on the ball, ana nguvu ana kasi, very skillful player na ana uwezo mkubwa sana wa kupunguza wachezaji. Mchezaji kama huyu atasaidia sana kuisumbua defense ya wapinzani kwa kasi yake. Akipartner na Kagere na Boko patakuwa patamu sana. He is an excellent player kama mtu anaujua mpira.Mkuu shukran kwa upekuzi, tumepigwa,, nadhani hata Moe hajafurai hii kitu
Wala huhitaji kumvumilia ni bonge la mchezaji, nitajie mchezaji Simba mwenye kasi kama yule na ambae yupo confortable anapokokota mpira kama huyu. Ana nguvu, anapunguza watu ile mbaya!! Very good player in my book, hongera Simba.Brazil - Red Bull Bragantino - Results, fixtures, squad, statistics, photos, videos and news - Soccerway
Brazil - Red Bull Bragantino - Results, fixtures, squad, statistics, photos, videos and news - Soccerwayus.soccerway.com
Huyu mchezaji ni mzuri sana tuvumilie tu
Nadhani ni big competition na bado mdogo sanaKacheza mechi 21 tu toka 2014
Sio mchezaji wa kikosi kinachoanza na 2018/19 kamaliza msimu Hana goli hata mojaWatu wanacomplain tu,timu aliyotoka ndo ya kwanza kwenye msimamo,jamaa ukimwangilia YouTube anapiga magoli hata ya kichwa na mashuti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo jamaa itakuwa ni muuza Matikiti au Kinyozi huko Brazil
[emoji23][emoji23]Naskia brazil nzima imesimama kwa usajili wa huyu jamaa
Hongeren watan
Pogba atawafaa sana , naskia man u hawamtaki
Hahahhaa eti Umoja,kumbe unawajua eeh hawachelewagi kuvunja vitiHata mie naona, tena kitu kikubwa tu ,si kwa surprise hizi asee
Ila umoja huu wa sasa ktk kushangilia huu usajiri uendelee hadi ligi itakapoanza hadi kuisha
Jaja SquareKule brazili mtoto wa kiume akizaliwa tu zawadi yake ya kwanza kupewa na baba ake ni njumu football boots.
Kule kila mtu anakipaji wote hawewezi kusajiliwa ulaya. Yani brazili kila kona mpira kama ilivyo bongo kila kona umbea.
Hongera simba kwa kujiongeza bila uwoga kwenda kusajili mpira ulipozaliwa
Serrunkuma mpya huyuPUMBAVUUUU!! "in Majuto's voice"
Yaani pamoja na kuchezea ligi ya awali kabisa huko kwa muda Wa miaka 5 amefunga goli tatu?View attachment 1133405
Kweli kabisa statistics zinajielezaHuyu mjinga ni hatari nanaona nafasi ya okwi imepata fundi
Vikindu fcUko Brazil alikua anacheza timu gani?
Umenikumbusha M-Brazil wa Yanga, aliyeitwa Jaja. Aliondoka bila kuaga.
Yaani kwa kusoma comment tayari umehitisha tumepigwa,wabongo bana wajuaji hatariMkuu shukran kwa upekuzi, tumepigwa,, nadhani hata Moe hajafurai hii kitu