Injinia Soma hiyoo: Simba yasajili striker kutoka Brazil

Fahamu pia sajiri za Simba zimekuwa siri,saa 7 ndio msema kweli. Hakuna atakaye kwambia kama kaachwa au lah,hata mchezaji mwenyewe.
 
Aliyemwambia Kotei,Okwi kaachwa ni nani? Aliyemwambia hawa wachezaji sio chaguo la kocha ni nani?
Wee unaonaje anachosema jamaa amekosea au la? Na ikitokea simba wakawaacha kweli Niyonzima na Kotei nini maoni yako? Sema mapema tujue msimamo wako,usije ukawa unakaa nyumanyuma tu kusubiri wanachofanya viongozi na kuwatukuza tu
 
NAFASI HIYO ANAKUJA MBRAZIL MWINGINE ANAITWA GERSON VIEIRA,
 
Mbona unaacha simba 1 Mazembe 4? Au hiki ni kawaida?
NA NYIE MMEINGIA TUWAONE SASA MKIJINYEA, OLE WENU MUISHIE HATUA ZA AWALI. MAANA MNA MIDOMO SANA ILIHALI NI WEUPE, MWAKA JUZI MMESHINDWA KUVUKA KWENDA GROUP STAGE WAKATI MLIKUWA GROUP LAINI LA KINA GOR MAHIA, RAYON SPORTS NA USM ALGERS. NDENGELESI KABISA
 
Nasikia jamaa anashusha wabrazil tu kina wengine wawili wanategemea kutambulishwa next week

Ila kiukweli hawa wabrazil wananipa mashaka
BROTHER KWENYE MAFANIKIO YA MAMELOD SUNDOWN WAPO WABRAZIL, YOU DONT NEED TO DOUBT WANAOIFANYA HIYO KAZI NI WATU MAKINI MNO WALA USIWE NA WASIWASI.

NENDA ANGOLA PETRO ATLETICO INASHINE SABABU INA WABRAZIL , CHA MSINGI TUWAOMBEE WACLICK MAPEMA.
 
Kwani nyie mwakani mnaenda wapi nao Al Shabab wenu,au mtatumia picha ya zamani? Ha ha ha mtakula ugali kwa picha ya samaki
 
Amekuja kutia mimba mademu wetu. Hana lolote.
 
TULIENI MENGINE HAYAWAHUSU, TATIZO WABONGO TUMEZOEA SANA TABIA ZA KUCHUNGUZA MAJIRANI BADALA YA KUJALI YETU.
 
Wee unaonaje anachosema jamaa amekosea au la? Na ikitokea simba wakawaacha kweli Niyonzima na Kotei nini maoni yako? Sema mapema tujue msimamo wako,usije ukawa unakaa nyumanyuma tu kusubiri wanachofanya viongozi na kuwatukuza tu
Mbona unakomalia hao kwa nini msiwasajili ili wawape mafanikio? Tangu lini Yanga wakawahurumia SIMBA, AU MNAOGOPA KUWA WATAKAOLETWA ITAKUWA BALAA?
 
BROTHER KWENYE MAFANIKIO YA MAMELOD SUNDOWN WAPO WABRAZIL, YOU DONT NEED TO DOUBT WANAOIFANYA HIYO KAZI NI WATU MAKINI MNO WALA USIWE NA WASIWASI.

NENDA ANGOLA PETRO ATLETICO INASHINE SABABU INA WABRAZIL , CHA MSINGI TUWAOMBEE WACLICK MAPEMA.
Sawa sawa Mkuu

Nimekuelewa vizuri!
 
Kuna mtu pale TPMazembe anaitwa Meshack Elia Ukimuona Wawa ukilitaja Hilo jina kwa nguvu, Wawa atakimbia Nduki kama kuku aliyemuona mwewe
Kuna mtu pale simba anaitwa meddie kagere...ukimuona shabiki wa yanga ukilitaja hilo jina chemchem inaanza kutoka yenyewe πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…