Injinia Soma hiyoo: Simba yasajili striker kutoka Brazil

We waacheni waokoteze wauza matikiti maji na Ma Alshabab toka Juba. Watapigwa hadi wachakae, ngoja ligi ianze ndiyo akili itawakaa sawa.
Ligi ikianza kuna timu utasikia...simba wananunua mechi-wanasahau hata wao tuliwanunua....simba wanapulizia dawa-wanasahau hata wao waligoma kuingia vyumba vya kubadilishia nguo but sindano iliingia sawasawa....mara marefa...mara tff...jana kocha wao kaanza kulialia tena huko misri...team lialia wazee wa kuchonga midomo kabda ligi haijaanza😂😂😂😂😂
 
BROTHER KWENYE MAFANIKIO YA MAMELOD SUNDOWN WAPO WABRAZIL, YOU DONT NEED TO DOUBT WANAOIFANYA HIYO KAZI NI WATU MAKINI MNO WALA USIWE NA WASIWASI.

NENDA ANGOLA PETRO ATLETICO INASHINE SABABU INA WABRAZIL , CHA MSINGI TUWAOMBEE WACLICK MAPEMA.
Ha ha ha ha una matatizo wewe yaani ulinganishe hizo timu hapo na hiki kigumu cha machakani hakina hata uwanja, timu yake ya vijana kambi ni wanalala njaa na kulala chini!? Ndio yaleyale ya kusema sisi level zetu ni kugombania wachezaji na Al ahly, Mazembe, Kaizer chiefs halafu Bwalya tu mmekosa hela za kumpata. Hizo timu ulizotolea mfano hapo ni bahari na ardhi kwa simba. Tafuta bajeti yao kwa msimu na miundo mbinu walonayo halafu uje udanganye wenzako tena. Asee usiilinganishe simba na hizo timu tena! Simba ni klabu masikini kwa kila kitu yaani Management, Kifedha,Kiwango, ligi mbovu inayocheza n.k. Wanasimba hebu jitahidini kujitegemea katika kufikiri basi kuliko kuliko kumtegemea Haji Manara afikirie kwa niaba yenu eboo!
 
Mbona nyie mmeshindwa kujitegemea kufikiria badala yake MWINYI ZAHERA ndo anafikiria badala yenu...timu ipi ya vijana inalala chini...mnatengeneza propaganda kwa picha za UMISETA za vijana waliovaa jezi nyekundu kwa kuchafua eti ni simba....simba hatuna dhiki mzee baba....wenye dhiki ni wale wazee wa bakuli wanaochangisha mia tano mia tano wapate pesa ya kulipa mishahara ya wachezaji....ombaomba f.c a.k.a mwakwasukwasu f.c subirini ligi ianze muanze kulialia tena
 
Ha ha ha ha una matatizo wewe yaani ulinganishe hizo timu hapo na hiki kigumu cha machakani hakina hata uwanja, timu yake ya vijana kambi ni wanalala njaa na kulala chini!? Ndio yaleyale ya kusema sisi level zetu ni kugombania wachezaji na Al ahly, Mazembe, Kaizer chiefs halafu Bwalya tu mmekosa hela za kumpata. Hizo timu ulizotolea mfano hapo ni bahari na ardhi kwa simba. Tafuta bajeti yao kwa msimu na miundo mbinu walonayo halafu uje udanganye wenzako tena. Asee usiilinganishe simba na hizo timu tena! Simba ni klabu masikini kwa kila kitu yaani Management, Kifedha,Kiwango, ligi mbovu inayocheza n.k. Wanasimba hebu jitahidini kujitegemea katika kufikiri basi kuliko kuliko kumtegemea Haji Manara afikirie kwa niaba yenu eboo!
HIVI UNAJUA KENNY ALLY MWAMBUNGU TU AMEWASHINDA? MMETAKA KUMSAJILI KWA MALI KAULI KACHOMOA. JIPENI MOYO TU BUT SIMBA INAWAACHA UTAKE USITAKE
 
Makambo ni mzuri zaidi ya Kagere
Eeeeh ni mzuri ndo mana makambo ndo mfungaji bora ligi kuu....makambo ameongoza kufunga magoli na kuiwezesha timu yake ya yanga kuchukua ubingwa vile vile kufika robo fainali champions league of africa
 
Mimi nimeipenda sana mbinu ya simba ya usiri wakufanya mambo yake. Kusajili majina makubwa hakuna mantiki sana ila kama unapata wachezaji wenye vipaji nawasio na majina uo ni uwekezaji mzuri sana.

mfano Enyimba fc wakati wanakua mabingwa x3 mfululizo hawakua nawachezaji wenye majina makubwa. Bali walikua na vijana wenye vipaji nakujituma uwanjani.
 
This is SIMBA
 
Back
Top Bottom