Pre GE2025 Innocent Bashungwa ana sifa zote za kumrithi Samia baada ya 2030

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Naona mnatuandaa kisaikolojia kwamba uchaguzi wa 2025 umeshaisha na mtia Nia Tayari ameshinda SI ndio!!?

Au mnamzubaisha Ili iweje!!?awe kwenye comfort zone halafu ghafla!!!?

Nyuzi za kafulila ,Bashungwa au mgombea Toka Kanda pendwa zinamiminika sana humu jamvini yaani Kanda ya ziwa mnawapoza mapema Ili mfanye yenu au!!?

Hii ni counter balance ya kisaikolojia nadhani!
 
Nshomile πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Bora Kafulila
 
Mlindeni asijesokotwa na Makatani akafungashwa nepi
 
Hiyo 2030 , ambayo sasa imekua kama wimbo kwenu , je mnaijua mipango ya Mungu, aliesema atakua ndie mpaka 2030 ni nani ? Jaribuni kuwa mnaweka akiba ya maneno
 
Pandikizi la USA! Hawezi kupata urais tayari ameshachemka!
 
Hapana..shida Hana maaumzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…