Uchaguzi 2020 Innocent Bashungwa apiga magoti kwenye kampeni kumuombea kura Rais Magufuli

Uchaguzi 2020 Innocent Bashungwa apiga magoti kwenye kampeni kumuombea kura Rais Magufuli

Cicadulina

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2015
Posts
977
Reaction score
2,370
Mgombea Ubunge Jimbo la Karagwe Innocent Bashungwa alivyopiga magoti kumuombea kura Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa uzinduzi wa Kampeni za CCM mkoani Kagera katika uwanja Mayunga.

Bashungwa.jpg


My take: Hawa si wamefanya makubwa na siasa miaka mitano? shida iko wapi au ndo kutojiamini?
 
CCM kwa kujifanya wauni hawajambo
Hayo magoti angejipigia yeye,mwenzie rais hisani ta NEC itambeba
 
Ni kujaribu kuonyesha unyenyekevu na kuomba msamaha kwa baadhi ya waliompigia kura mara ya kwanza halafu akawa hapokei simu zao alipokuwa mjengoni Dodoma.
 
Hali inazidi kuwa mbaya kwa CCM mkoani Kagera katika kipindi cha Uchaguzi wa mwaka huu. Aliyekuwa mbunge wa Karagwe Innocent Bashungwa amelazimika kuomba kura kwa wananchi baada ya kukataliwa na wana karagwe.

Pamoja na hayo wananchi wamesusia mkutano wake na kulazimika kuwakusanya ndugu zake wa karibu ili angalau aonekane amefanya mkutano.

Wana Kagera wameapa kuwa safari hii hawataki kusikia CCM na wagombea wake woote.

Bashungwa.jpg
 
Kagera huwa hawafanyi makosa. You them they do you.
 
Back
Top Bottom