Uchaguzi 2020 Innocent Bashungwa apiga magoti kwenye kampeni kumuombea kura Rais Magufuli

Uchaguzi 2020 Innocent Bashungwa apiga magoti kwenye kampeni kumuombea kura Rais Magufuli

Hawa wajomba kupiga magoti siku hizi ni kawaida yao.
Screenshot_2020-09-03-10-56-57-1.jpg
1-1.jpg
 
Ila wewe jamaa ujinga wako sio wa kawaida. Ni zaidi ya ujinga.
Huyo ujinga wake ni mpana sana.
Ujinga wa kurithi.
Ujinga wa kuwa chama cha kijinga na kuzungukwa na wanachama wajinga wenzake.
Ujinga wa kupata elimu ya mjinga.
Ujinga wa kutoweza kujitafutia ridhiki kwa jasho.
Ujinga wa kutokujua kuwa yeye ni mjinga.
 
itoshe tu kusema huyo jamaa ni mjinga
Huyo ujinga wake ni mpana sana.
Ujinga wa kurithi.
Ujinga wa kuwa chama cha kijinga na kuzungukwa na wanachama wajinga wenzake.
Ujinga wa kupata elimu ya mjinga.
Ujinga wa kutoweza kujitafutia ridhiki kwa jasho.
Ujinga wa kutokujua kuwa yeye ni mjinga.

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
Mgombea Ubunge Jimbo la Karagwe Innocent Bashungwa alivyopiga magoti kumuombea kura Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa uzinduzi wa Kampeni za CCM mkoani Kagera katika uwanja Mayunga.

My take: Hawa si wamefanya makubwa na siasa miaka mitano? shida iko wapi au ndo kutojiamini?
He is extremely arrogant halafu Maringo mengi...apigwe nchini huyooo
 
"WAMELEGEAA!!" in Lissu's voice...
 
Tumemshtukia lissu anaiba madini anapelekea Mabeberu na anawatetea mahakamani
Lissu the traitor
Kweli ww jamaa jinga Lao.

Kwa maana iyo unaidharau usalama wa Taifa kwamba wamefeli kumchunguza Lisu mpaka anachukua form ya Urais.

Kama Usalama walifeli apo bhasi kuanzia Sasa naamini Maghufuri ni Muhutu wa Burundi. Nilikua bado sijaamini Hilo

Haki Huinua TAIFA
 
He is extremely arrogant halafu Maringo mengi...apigwe nchini huyooo
Instead of fighting for your constituents people benefits such as better coffee price for farmers, or mitigate on reduction of sugar price for his region as Kagera sugar industry is within his area, or work hard on enticing serious investors to his region, and btw he is a minister of Trade and industry...but only what he can do best , is to kneel down in front of voters with cheap politics to ask for votes without showing his voters any direct deliverables.. .what a joke!!
 
Back
Top Bottom