Cicadulina
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 977
- 2,370
Ongeza sauti kidogoInnocent afanye shughuli nyingine, October 28 Magufuli atakua Mstaafu.
Ila wewe jamaa ujinga wako sio wa kawaida. Ni zaidi ya ujinga.Ccm ni wanyenyekevu, tofauti na lissu anayetumiwa na Mabeberu kuiba raslimali zetu
Ila wewe jamaa ujinga wako sio wa kawaida. Ni zaidi ya ujinga.
Hawa jamaa wameigiza ujinga kwa muda mrefu hatimaye wamefanikiwa kuwa wajinga halisi.Ila wewe jamaa ujinga wako sio wa kawaida. Ni zaidi ya ujinga.
Leo ndiyo mnajua Kagera kuna watu wakati walipopatwa na tetemeko mliwafanyia uhuni.....Kagera hawadanganyikiKagera mwaka huu viti vyote vya ubunge ni mali ya CCM.
CCM mwaka huu watapata sana shida hapa Kagera kufuatia maneno ya Jiwe dhidi ya wana KageraHawajielewi hapa- Kupiga magoti siyo sehemu ya sera za kuvutia wananchi, labda hayo mahindi bado ni ya Ngedere kama alivyodai
Wakishapata wanapigiwa Magoti! Kutesa kwa zamuMbona wakishapita huwa hawapigi magoti?
Ni jambo nzuri sana kwa wapinzani kwa kuwa mpinzani wao hajui kuweka akiba ya manenoCcm mwaka huu watapata sana shida hapa Kagera kufuatia maneno ya Jiwe dhidi ya wana kagera