Uchaguzi 2020 Innocent Bashungwa apiga magoti kwenye kampeni kumuombea kura Rais Magufuli

CCM kwa usanii hawajambo.....!! na bado mwaka huu ngoma isambe
 
Haya yanayotokea ni unabii mtupu
 
Kagera mwaka huu viti vyote vya ubunge ni mali ya CCM.
Huo ndiyo ukweli Jimbo gumu lilikuwa Bukoba mjini ambalo mpaka muda huu mambo yamebadilika.

Hawa jamaa ni watalamu wa kupoteza kumbukumbu mwaka 2015 pamoja na mafuriko ya Lowassa waliishia kupata jimbo 1 tu la uchaguzi.
 
Hawa jamaa ni wasanii na wachumiatumbo wakubwa, hawana lolote, mijusi wakubwa!
 
Jiwe tulikua dawa iingie lissu anatumia sindano za farasi na punda
Magoti hayatosh
 

Attachments

  • Screenshot_20200930-010911.jpg
    80.2 KB · Views: 1
  • IMG_20200929_150718.jpg
    37.5 KB · Views: 1
Jiwe tulikua dawa iingie lissu anatumia sindano za farasi na punda
Magoti hayatosh
 
Kama hutakiwi kwa nn ung'ang'anie hadi upige magoti?
Oktoba 28, wananchi tuna jambo letu dhidi ya hawa wapiga magoti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…