Inonga anaiheshimisha NBC Premier League

Huwezi kumbakiza mchezaji mkubwa kama wakubwa watamtaka,hata aziz ki au diarra wakitakiwa na wakubwa hata mpambane ni kazi bure tu.
 
Wakati wanamuharibu ulikuwepo? Elezea walichomuwekea hadi unasema wakikichomoa anakuwa sawa, walimuwekea nini? Wapi? Ilikuwa ni lini??kikoje hiko kitu?
 
Huwezi kumbakiza mchezaji mkubwa kama wakubwa watamtaka,hata aziz ki au diarra wakitakiwa na wakubwa hata mpambane ni kazi bure tu.
Umeelewa lakini nilichosema, sijakataa mkubwa akija haizuiliki, swali je kwa miaka ya karibuni far rabat ni mkubwa kwa simba?
 
Asante sana kwa kunisaidia kumuelewesha vizuri
 
Alili yako imekaa kishirikina tu, kwanini asilogwe Inonga?
Basi nikuulize ni kitu gani kilimpa imani Engineer kama Okrah ni mchezaji wa maana na wote tuliona hapa Simba walishindwa kutokana na panda shuka ya kiwango pamoja na majeraha ya muda mrefu
 
Sare na Mtibwa? Mpira unasimuliwa kumbe? Juzi ya lini Yanga katoa sare na Mtibwa?
Kama timu unayotuhumu kuloga inaweza kutoa sare basi ujue hakuna uchawi kwenye mchezo wa mpira wa miguu
Lakini umeelewa ni Kagera sugar sio Mtibwa sugar ila maelezo mengne yote yapo sahihi ndio maana ukaanza na hilo kosa dogo tu tena la kuchanganya ndugu wawili
 
Lakini umeelewa ni Kagera sugar sio Mtibwa sugar ila maelezo mengne yote yapo sahihi ndio maana ukaanza na hilo kosa dogo tu tena la kuchanganya ndugu wawili
Kwahiyo timu inaweza kuongoza kwa kuloga na asipate ushindi?
 
Basi nikuulize ni kitu gani kilimpa imani Engineer kama Okrah ni mchezaji wa maana na wote tuliona hapa Simba walishindwa kutokana na panda shuka ya kiwango pamoja na majeraha ya muda mrefu
Ingekuwa katokea Simba kisha hapo hapo akasajiliwa na Engineer basi kungekuwa na cha kujiuliza ila katoka Simba kisha akaenda timu nyingine akawa anacheza mpira. Hivyo inawezekana Engineer alijiaminisha baada ya kumuona anacheza vuzuri akiwa na timu nyingine hivyo aliamini yupo sawa kiakili ba kimwili.
 
Basi nikuulize ni kitu gani kilimpa imani Engineer kama Okrah ni mchezaji wa maana na wote tuliona hapa Simba walishindwa kutokana na panda shuka ya kiwango pamoja na majeraha ya muda mrefu
Namimi nimekuuliza kwanini asilogwe mchezaji wa maana kama Inonga kama Yanga ndio inayowaharibu wachezaji wenu wangemshusha kiwango Inonga na sio mchezaji anatoka huko na anashindwa kuwika kwanzia awali halafu lawama ipewe Yanga.
 
Wamemshindwa huyo mtu
 
Mkude je?
 
Wamemshindwa huyo mtu
Akili ya mpira huna una ushabiki mwingi. Ulianza kupenda timu kabla ya kuanza kupenda mpira. Kama uchawi unakikomo basi hakuna mafanikio yatokanayo na uchawi
 
Mnaona kabisa Inonga kaifikikisha Congo nusu fainali AFCON na ndio yalikua malengo yenu msimu huu baadae mje muanze kelele za Mangungu ajihudhuru
 
Mnaona kabisa Inonga kaifikikisha Congo nusu fainali AFCON na ndio yalikua malengo yenu msimu huu baadae mje muanze kelele za Mangungu ajihudhuru
Baadae wakiorodhoshewa kwenye mafanikio kuwa mchezaji wetu kacheza fainali ya AFCON wasije kulalamikia.
 
Baadae wakiorodhoshewa kwenye mafanikio kuwa mchezaji wetu kacheza fainali ya AFCON wasije kulalamikia.
Na atabeba kabisa kombe ili malengo yetu kama klabu tuyawasilidhe vizuri.
Wanasimba kwa sasa tunaangalia Afcon semi final tukimtazama mchezaji wetu unafikiri hicho ni kitu kidogo? Na tutamtazama akiwa anabeba kombe wengne huku wachezaji wao wote wakihangaika na Kagera sugar
 
Kwakweli sio jambo dogo, sisi wacha tubebe kombe la Azam federation na NBC league kama kawaida yetu. Kila mmoja ana mafanikio ya aina yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…