Smart AJ
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 5,564
- 5,884
Huwezi kumbakiza mchezaji mkubwa kama wakubwa watamtaka,hata aziz ki au diarra wakitakiwa na wakubwa hata mpambane ni kazi bure tu.Simba walivyo mapimbi wanauza mchezaji kama huyu, unapotaka kuwa timu nzuri, bakiza wachezaji wako bora inapotokea kuuza uza kwa timu ambayo ni bora zaidi yaani hadhi ya timu inakufanya usiweze mzuia mchezaji.
Kwa miaka ya karibuni far rabat na simba, simba ni kubwa. Simba ilipofikia inabidi iporwe mchezaji na mamelodi, wydad, al ahly huko. Kibaya zaidi wameuza bei ya kawaida tu.