Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Huyu jamaa nilijua kuna siku ataigharimu Simba na hilo limetokea leo, kuanzia mwanzo wa mechi niliona namna anavyojiona yeye ndo yeye na alikuwa anafanya makosa ya kiufundi mengi, nilitegemea ataadhibiwa kwa ujinga wake, anapenda kucheza na jukwaa sana badala ya kufanya mambo ya muhimu.
Mayele leo kampa somo zuri sana kwamba anatakiwa kuwa makini na kuwa na utulivu, yote kwa yote nawapongeza Yanga wameonyesha hawakutwaa makombe yote msimu uliopita kwa bahati mbaya, walistahili na wanaendelea kuonyesha umwamba wao, quality quality quality quality🙌🙌🙌🙌