Inonga Baka ujuaji mwingi, mbambamba nyingi kaigharimu Simba

Mtanzanias

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2021
Posts
1,747
Reaction score
3,725
Huyu jamaa nilijua kuna siku ataigharimu Simba na hilo limetokea leo, kuanzia mwanzo wa mechi niliona namna anavyojiona yeye ndo yeye na alikuwa anafanya makosa ya kiufundi mengi, nilitegemea ataadhibiwa kwa ujinga wake, anapenda kucheza na jukwaa sana badala ya kufanya mambo ya muhimu.

Mayele leo kampa somo zuri sana kwamba anatakiwa kuwa makini na kuwa na utulivu, yote kwa yote nawapongeza Yanga wameonyesha hawakutwaa makombe yote msimu uliopita kwa bahati mbaya, walistahili na wanaendelea kuonyesha umwamba wao, quality quality quality quality🙌🙌🙌🙌
 
Ana itwa nani uyu mwamba nyokoviki [emoji81][emoji81]bureee kabisa
177508912.jpg
 
Huyu jamaa nilijua kuna siku ataigharimu Simba na hilo limetokea leo, kuanzia mwanzo wa mechi niliona namna anavyojiona yeye ndo yeye na alikuwa anafanya makosa ya kiufundi mengi, nilitegemea ataadhibiwa kwa ujinga wake, anapenda kucheza na jukwaa sana badala ya kufanya mambo ya muhimu.

Mayele leo kampa somo zuri sana kwamba anatakiwa kuwa makini na kuwa na utulivu, yote kwa yote nawapongeza Yanga wameonyesha hawakutwaa makombe yote msimu uliopita kwa bahati mbaya, walistahili na wanaendelea kuonyesha umwamba wao, quality quality quality quality🙌🙌🙌🙌
Mkuu huko vizuri Sana, hakika wewe Ni mpenzi wa mpira siyo Kama wenzio wapiga kelele.
 
Huyu jamaa nilijua kuna siku ataigharimu Simba na hilo limetokea leo, kuanzia mwanzo wa mechi niliona namna anavyojiona yeye ndo yeye na alikuwa anafanya makosa ya kiufundi mengi, nilitegemea ataadhibiwa kwa ujinga wake, anapenda kucheza na jukwaa sana badala ya kufanya mambo ya muhimu.

Mayele leo kampa somo zuri sana kwamba anatakiwa kuwa makini na kuwa na utulivu, yote kwa yote nawapongeza Yanga wameonyesha hawakutwaa makombe yote msimu uliopita kwa bahati mbaya, walistahili na wanaendelea kuonyesha umwamba wao, quality quality quality quality[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Ngoja aje ndugu yangu Genta. Wakati tunamaema Inongà na madhaifu yake mlituzodoa Sana. Bora mmemuona na kuanzia Leo mtajua ni beki wa jukwaani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan nani sio mchezaji wa majukwaani???
 
Huyu jamaa nilijua kuna siku ataigharimu Simba na hilo limetokea leo, kuanzia mwanzo wa mechi niliona namna anavyojiona yeye ndo yeye na alikuwa anafanya makosa ya kiufundi mengi, nilitegemea ataadhibiwa kwa ujinga wake, anapenda kucheza na jukwaa sana badala ya kufanya mambo ya muhimu.

Mayele leo kampa somo zuri sana kwamba anatakiwa kuwa makini na kuwa na utulivu, yote kwa yote nawapongeza Yanga wameonyesha hawakutwaa makombe yote msimu uliopita kwa bahati mbaya, walistahili na wanaendelea kuonyesha umwamba wao, quality quality quality quality[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Ndio maana mkude na inonga haziivi hata leo kabla kipindi cha pili hakijaanza alikuwa anamuelekeza namna anavyocheza analeta utani kwenye show za kiume matokeo yake ndo yale.
 
Huyu jamaa nilijua kuna siku ataigharimu Simba na hilo limetokea leo, kuanzia mwanzo wa mechi niliona namna anavyojiona yeye ndo yeye na alikuwa anafanya makosa ya kiufundi mengi, nilitegemea ataadhibiwa kwa ujinga wake, anapenda kucheza na jukwaa sana badala ya kufanya mambo ya muhimu.

Mayele leo kampa somo zuri sana kwamba anatakiwa kuwa makini na kuwa na utulivu, yote kwa yote nawapongeza Yanga wameonyesha hawakutwaa makombe yote msimu uliopita kwa bahati mbaya, walistahili na wanaendelea kuonyesha umwamba wao, quality quality quality quality🙌🙌🙌🙌
Hujakosea,anajiona anajua sana.....ajifunze kwa mwenzie Bangala yupo sirias na kazi uwanjani
 
Haya huwa mnayasema mkifungwa sio..kuweni na maneno ya akiba yenye shukran kwa inonga..kosa lake moja lisifanye msahau mazuri mengi aliyofanya..

Kosa ni kocha kushindwa kubadili mfumo wenzetu yanga wamebadili mfumo na ukawapatia matokeo chanya.

Moyo wenyeshukrani unaleta matumaini.

Asanteni yanga na simba
 
Mnampa mzigo wa lawama bure tu, shida ni Viungo wenu wa Chini. Magoli yote yamepigwa pasi za mpenyezo. VIUNGO WALIKUWA WAPI?
TULISEMA HAPA SIMA IRUDI SOKONI KUFANYA USAJILI WA KIUNGO WA CHINI.
 
Haya huwa mnayasema mkifungwa sio..kuweni na maneno ya akiba yenye shukran kwa inonga..kosa lake moja lisifanye msahau mazuri mengi aliyofanya..

Kosa ni kocha kushindwa kubadili mfumo wenzetu yanga wamebadili mfumo na ukawapatia matokeo chanya.

Moyo wenyeshukrani unaleta matumaini.

Asanteni yanga na simba
Yaan wanavomsakama Inonga leo utadhan, kakosea pakubwa sanaaa, kwan mchezaji ni inonga pekee ake?? Lol
 
Back
Top Bottom