Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Mkuu huko vizuri Sana, hakika wewe Ni mpenzi wa mpira siyo Kama wenzio wapiga kelele.Huyu jamaa nilijua kuna siku ataigharimu Simba na hilo limetokea leo, kuanzia mwanzo wa mechi niliona namna anavyojiona yeye ndo yeye na alikuwa anafanya makosa ya kiufundi mengi, nilitegemea ataadhibiwa kwa ujinga wake, anapenda kucheza na jukwaa sana badala ya kufanya mambo ya muhimu.
Mayele leo kampa somo zuri sana kwamba anatakiwa kuwa makini na kuwa na utulivu, yote kwa yote nawapongeza Yanga wameonyesha hawakutwaa makombe yote msimu uliopita kwa bahati mbaya, walistahili na wanaendelea kuonyesha umwamba wao, quality quality quality quality๐๐๐๐
Ngoja aje ndugu yangu Genta. Wakati tunamaema Inongร na madhaifu yake mlituzodoa Sana. Bora mmemuona na kuanzia Leo mtajua ni beki wa jukwaani.Huyu jamaa nilijua kuna siku ataigharimu Simba na hilo limetokea leo, kuanzia mwanzo wa mechi niliona namna anavyojiona yeye ndo yeye na alikuwa anafanya makosa ya kiufundi mengi, nilitegemea ataadhibiwa kwa ujinga wake, anapenda kucheza na jukwaa sana badala ya kufanya mambo ya muhimu.
Mayele leo kampa somo zuri sana kwamba anatakiwa kuwa makini na kuwa na utulivu, yote kwa yote nawapongeza Yanga wameonyesha hawakutwaa makombe yote msimu uliopita kwa bahati mbaya, walistahili na wanaendelea kuonyesha umwamba wao, quality quality quality quality[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
hatujamaliza mlete mdhungu mlete mdhungu uyo apo mdhunguAna itwa nani uyu mwamba nyokoviki [emoji81][emoji81]bureee kabisaView attachment 2323241
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan nani sio mchezaji wa majukwaani???Ngoja aje ndugu yangu Genta. Wakati tunamaema Inongร na madhaifu yake mlituzodoa Sana. Bora mmemuona na kuanzia Leo mtajua ni beki wa jukwaani.
Ndio maana mkude na inonga haziivi hata leo kabla kipindi cha pili hakijaanza alikuwa anamuelekeza namna anavyocheza analeta utani kwenye show za kiume matokeo yake ndo yale.Huyu jamaa nilijua kuna siku ataigharimu Simba na hilo limetokea leo, kuanzia mwanzo wa mechi niliona namna anavyojiona yeye ndo yeye na alikuwa anafanya makosa ya kiufundi mengi, nilitegemea ataadhibiwa kwa ujinga wake, anapenda kucheza na jukwaa sana badala ya kufanya mambo ya muhimu.
Mayele leo kampa somo zuri sana kwamba anatakiwa kuwa makini na kuwa na utulivu, yote kwa yote nawapongeza Yanga wameonyesha hawakutwaa makombe yote msimu uliopita kwa bahati mbaya, walistahili na wanaendelea kuonyesha umwamba wao, quality quality quality quality[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Hujakosea,anajiona anajua sana.....ajifunze kwa mwenzie Bangala yupo sirias na kazi uwanjaniHuyu jamaa nilijua kuna siku ataigharimu Simba na hilo limetokea leo, kuanzia mwanzo wa mechi niliona namna anavyojiona yeye ndo yeye na alikuwa anafanya makosa ya kiufundi mengi, nilitegemea ataadhibiwa kwa ujinga wake, anapenda kucheza na jukwaa sana badala ya kufanya mambo ya muhimu.
Mayele leo kampa somo zuri sana kwamba anatakiwa kuwa makini na kuwa na utulivu, yote kwa yote nawapongeza Yanga wameonyesha hawakutwaa makombe yote msimu uliopita kwa bahati mbaya, walistahili na wanaendelea kuonyesha umwamba wao, quality quality quality quality๐๐๐๐
Kafungishwa mdomo baada ya goli la pili kuanzia kwenye TOBO lake, kabla halijafika kwenye TOBO la KakolanyaLeo kafugishwa mdomo.
Ana itwa nani uyu mwamba nyokoviki [emoji81][emoji81]bureee kabisaView attachment 2323241
Yaan wanavomsakama Inonga leo utadhan, kakosea pakubwa sanaaa, kwan mchezaji ni inonga pekee ake?? LolHaya huwa mnayasema mkifungwa sio..kuweni na maneno ya akiba yenye shukran kwa inonga..kosa lake moja lisifanye msahau mazuri mengi aliyofanya..
Kosa ni kocha kushindwa kubadili mfumo wenzetu yanga wamebadili mfumo na ukawapatia matokeo chanya.
Moyo wenyeshukrani unaleta matumaini.
Asanteni yanga na simba