Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga ni wagumu kuuza mchezajiF
Hao Rabat hawakumuona Aziz Ki, Je Mnyeto, Je yule kipa Andunje mdaka Upepo wa Mali.
Hii ni heshima kwa SIMBA SC nyie vigagula endeleeni kukaa na. MAJINI YENU na sasa kwa skendo hii HAKUNA TIMU ITANUNUA MCHEZAJI WENU kaeni nao.
Ushaona nani Anao familia ya KICHAWI?
Rage apewe heshima yakeMakolo mbumbumbu
Sasa Inonga kutakiwa na team nyingine mshaona kombe
Haya Mangungu ataongeza kwenye mafanikio yenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kifuatacho ni pancha Kwa makolo [emoji23]Na anavyojua kuringa, akirudi bongo atajilinda sana asipate majeraha ili kuwatumikia vyema mabosi wake wapya.
Nimefurahi sana kusikia hii taarifa, bado Ngoma na Chama.
Ww kijukuu cha kijini...Simba kwisha vipi? Inonga toka hayupo beki zipo vzr kuliko akiwepo..japo hata akibaki pia sio mbaya na akiondoka pia twamtakia kila la heri..
Ungejibu upinde wewe sasa mambo ya kusoma yanahusiana na nini?Unajua kusoma??
Au kusoma nako ni lugha ya pili?
Wakati inonga hayupo ....mlikuwa vibaya sana at least now daysWw kijukuu cha kijini...Simba kwisha vipi? Inonga toka hayupo beki zipo vzr kuliko akiwepo..japo hata akibaki pia sio mbaya na akiondoka pia twamtakia kila la heri..
Wewe unaejua kusoma onyesha hio Millard AyoUnajua kusoma??
Au kusoma nako ni lugha ya pili?
Rage ni genius
Anamanisha wewe ni maskini na una muda wa kufatilia habari za tajiri,,na umaskini wako ambao haujui kesho utakula nini au utailisha nini familia yako , unaicheka simba ikiwa na wachezaji wanaolipwa mishahara mikubwa na posho nyingi ikiwemo huyo inonga wakiwa na maisha mazuri
Humu tunatumia I'd fake..... what if ukagundua kuwa mi ni mo dewjAnamanisha wewe ni maskini na una muda wa kufatilia habari za tajiri,,na umaskini wako ambao haujui kesho utakula nini au utailisha nini familia yako , unaicheka simba ikiwa na wachezaji wanaolipwa mishahara mikubwa na posho nyingi ikiwemo huyo inonga wakiwa na maisha mazuri
Stupid fool.
Hakuna timu inakuwa na kinyongo mchezaji anapo quitTutafurahi kama atapata changamoto sehemu nyingine kama baleke au sakho na bwalya,simba hatunaga kinyongo kwa wachezaji wetu,na HII NDIO MAANA YA TIMU KUBWA,..siyo timu fulani wao mchezaji akitaka kuondoka basi ni uadui tu na kumtupia majini yamuue
Halafu hushangai kwanini nabi kawafundisha mabeki kama baka,mwamnyeto na job,ila kaona kwa hapa tanzania aondoke na inonga baka varrane,ushawahi kujiuliza kwanini?