Inonga kumfuata prof Nabi pale Far Rabbat

Na anavyojua kuringa, akirudi bongo atajilinda sana asipate majeraha ili kuwatumikia vyema mabosi wake wapya.

Nimefurahi sana kusikia hii taarifa, bado Ngoma na Chama.
 
F

Hao Rabat hawakumuona Aziz Ki, Je Mnyeto, Je yule kipa Andunje mdaka Upepo wa Mali.
Hii ni heshima kwa SIMBA SC nyie vigagula endeleeni kukaa na. MAJINI YENU na sasa kwa skendo hii HAKUNA TIMU ITANUNUA MCHEZAJI WENU kaeni nao.
Ushaona nani Anao familia ya KICHAWI?
Yanga ni wagumu kuuza mchezaji

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Na anavyojua kuringa, akirudi bongo atajilinda sana asipate majeraha ili kuwatumikia vyema mabosi wake wapya.

Nimefurahi sana kusikia hii taarifa, bado Ngoma na Chama.
Kifuatacho ni pancha Kwa makolo [emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Ww kijukuu cha kijini...Simba kwisha vipi? Inonga toka hayupo beki zipo vzr kuliko akiwepo..japo hata akibaki pia sio mbaya na akiondoka pia twamtakia kila la heri..
Wakati inonga hayupo ....mlikuwa vibaya sana at least now days

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Una maanisha nin

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Anamanisha wewe ni maskini na una muda wa kufatilia habari za tajiri,,na umaskini wako ambao haujui kesho utakula nini au utailisha nini familia yako , unaicheka simba ikiwa na wachezaji wanaolipwa mishahara mikubwa na posho nyingi ikiwemo huyo inonga wakiwa na maisha mazuri
Stupid fool.
 
Humu tunatumia I'd fake..... what if ukagundua kuwa mi ni mo dewj

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Tutafurahi kama atapata changamoto sehemu nyingine kama baleke au sakho na bwalya,simba hatunaga kinyongo kwa wachezaji wetu,na HII NDIO MAANA YA TIMU KUBWA,..siyo timu fulani wao mchezaji akitaka kuondoka basi ni uadui tu na kumtupia majini yamuue

Halafu hushangai kwanini nabi kawafundisha mabeki kama baka,mwamnyeto na job,ila kaona kwa hapa tanzania aondoke na inonga baka varrane,ushawahi kujiuliza kwanini?
 
Hakuna timu inakuwa na kinyongo mchezaji anapo quit

Back
Top Bottom