Insecure man - Mwanaume asiejiamini ushawahi ku date nae?

Hivi kuna Mwanaume anajiamini na hawa wanawake wakisasa ? Nadhani chakujiamini labda ni kimoja tu kwamba akizingua unapiga chini unaweka njia kuu sidechick.
mwingine huyu hapa namba 2
 
Ivi ushakutanaga na mwanaume ambae yuko insecure, hajiamini?

ikawaje?

ulitemana nae vepe?

ulitemana nae baada ya muda gan?

Hadithi kamili pita kwa youtube channel yangu¹
Mm ninautaratibu wangu na misimamo yanyu nilishajiwekea tangu teenager mwanamke nakuacha kwa mambo mawili tu uchawi na uzinzi basi mambo mengine ni yakurekebishana tu so hata kama unakipato kunizidi hakuna shida kwanza ndio naona kama nimepata mtu wa kunichallenge na mm nipambane mara 100 zaidi niwe comfortable kwenye mahusiano..
 
Aminaaaa mtumishi
 
Hivi kuna Mwanaume anajiamini na hawa wanawake wakisasa ? Nadhani chakujiamini labda ni kimoja tu kwamba akizingua unapiga chini unaweka njia kuu sidechick.
Moja kati ya comment itakayoishi milele ni hii[emoji122][emoji122]
 
Back
Top Bottom