Insecure man - Mwanaume asiejiamini ushawahi ku date nae?

Moja kati ya comment itakayoishi milele ni hii[emoji122][emoji122]
Upuuzi mtupu hakuna alichoandika zaidi ya kutuonyesha amekaa mashaka na woga mwingi haujiamini na akiendelea ivyo atakufa alone
 
Ivi ushakutanaga na mwanaume ambae yuko insecure, hajiamini?

ikawaje?

ulitemana nae vepe?

ulitemana nae baada ya muda gan?

Hadithi kamili pita kwa youtube channel yangu
Hasa akiwa amezidiwa kidogo kiuchumi na mwanamke ndo kabisa
Muda wote atakuwa anatumia umasikini wake kukusimanga .
Wakati wote ni maskini tu basi tu mmezidiana level .
 
UKIWA HUNA MAWE JIAMINI TUUUUUUU
 
Sijawahi kujiamini kwa mwanamke, hakuna kiumbe anajua kufeki kama mwanamke, hakuna kiumbe mwongo kama mwanamke, hakuna kiumbe ana roho mbaya kama mwanamkez hakuna kiumbe mwovu kama mwanamke.
 
utakuta ulikutana na sista kama sio bikra
poyeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom