Insecurity in Kenya: Magufuli just like Netanyahu didn't attend Kasarani for Uhuru's swearing in!

Insecurity in Kenya: Magufuli just like Netanyahu didn't attend Kasarani for Uhuru's swearing in!

najua kwenyu wadanganyika, murdering English is acceptable. so let me leave you to your wank-fest. if what REDEEMER. is attempting is proper English, then mimi naandika ki maasai.
Tunafahamu ni kwakiasi gani wakenya bado utumwa unavyotawala vichwani mwao, they don't care is some one has gone wrong with Kiswahili which is basically a national language for both Kenya and Tanzania, but if anybody goes wrong with English, they get anal itching
 
Mkuu mimi ninamrekebisha huyo mkenya anamkosoa mtanzania kwamba ameandika makosa wakati yeye ndio yupo wrong hasa aliposema "how level of ignorance" ni makosa wakati hiyo sentensi ipo sahihi kabisa
Samahani mkuu sikukupata vizuri[emoji120] [emoji120]
 
tafadhali andika kwa lugha unayo ielewa! "more than 70 presidential invitations fled to him"?? what on God's earth is that........he must have been smelling shit'!
I will equate magufulis popularity with that of a monkey trader in a market, he will attract the largest crowds but go home empty handed. tafakari hayo....

Go to your primary school and ask them to refund your fees, how level of ignorance you have failed to understand the meaning of fled and past participle of flee and the uses of flee to and flee from? That's astonishing how you managed to login.
Mkuu we ndo ukomplikati, Reedemer ameombwa andike tu kwa kiswahili ili hoja/ujumbe anaoukusudia ufike na ueleweke kwa ufasaha
Ila yeye(reedemer) akaleta battle ya lugha.
Tunafahamu ni kwakiasi gani wakenya bado utumwa unavyotawala vichwani mwao, they don't care is some one has gone wrong with Kiswahili which is basically a national language for both Kenya and Tanzania, but if anybody goes wrong with English, they get anal itching
 
Mkuu we ndo ukomplikati, Reedemer ameombwa andike tu kwa kiswahili ili hoja/ujumbe anaoukusudia ufike na ueleweke kwa ufasaha
Ila yeye(reedemer) akaleta battle ya lugha.
Mkuu sio kweli, mbona sisi wote tumemuelewa Reedemer?, na sio kwamba ni mara ya kwanza kwa Reedemer kutumia lugha ya kizungu humu ndani, na miaka yote hiyo anaeleweka, iweje ghafla leo haeleweki?, jaribu kufuatilia mazungumzo yake baada ya kujibiwa na Reedemer, anaanza kuingia kwenye English grammar na mambo kama hayo, kumbuka kwamba wakenya sasa hivi wamebaki na risasi tatu tu humu JF, nazo ni 1)GDP, 2)LDC, 3)English
 
my friend(if you allow me to call you that) it is not grammatically correct to say "fleeing to a person" it simply doesn't make any sense. see below, the meaning of flee.
View attachment 640388

"how level of ignorance" is also grammatically wrong. you cannot start/begin a sentence with an adverb - how; unless it's a question.
The proper meaning of flee is simply "run away" you may run away from anything or anyone

53390d9b39584c23c845975f192f219a.jpg

whether it is situation, area, person, something etc the word does not restrict from being used to refer persons read that screenshot especially example number 2.

About how I review the whole story of redeemer I find out that phrase was within group of other words he did not start as fresh with "how level of ignorance" from the first place also how could be used without question mark at the end example like saying "how low life" like expressing how low life a certain entity is.

"how wonderful" amazed by certain situation

"how creepy" etc

But online conversion most of the time is not formal conversation which makes it not must to question about following of some tiny grammatical rules since someone may be writing just informally as long as the primary meaning is active.
 
Huu ni UDHALILISHAJI! Unaanzaje kumfananisha John na Kichwa Ben? Huyu Msukuma Fake insecurity yake ni kwa Watanzania ALIOWAIBIA KURA tu, basi; & NOT against the rest of the world.
Hahaha hahahaha

Swissme
 
The proper meaning of flee is simply "run away" you may run away from anything or anyone
53390d9b39584c23c845975f192f219a.jpg
whether it is situation, area, person, something etc the word does not restrict from being used to refer persons read that screenshot especially example number 2.

About how I review the whole story of redeemer I find out that phrase was within group of other words he did not start as fresh with "how level of ignorance" from the first place also how could be used without question mark at the end example like saying "how low life" like expressing how low life a certain entity is.

"how wonderful" amazed by certain situation

"how creepy" etc

But online conversion most of the time is not formal conversation which makes it not must to question about following of some tiny grammatical rules since someone may be writing just informally as long as the primary meaning is active.
the problem with you is that you are arguing from a wrong perspective. You quote redeemer wrongly then you argue from that wrong point!
**redeemer said "more than 70 presidential invitations fled to him" what does this statement mean to you? can you run away to a person?

**you cannot begin a sentence with an adverb! your examples above are rhetorical questions that do not necessarily require answers and therefore no need of question marks at the end but are non the less questions.
 
Jana hiyo, sherehe ya kuapishwa Uhuru.
Hapo ni Ikulu,baada ya Kuapishwq.
Netanyahu hakwenda kaasarani na kwa mujibu wa VOA jioni ilisemwa ni kwa sababu za KIUSALAMA
 
Hapo ni Ikulu,baada ya Kuapishwq.
Netanyahu hakwenda kaasarani na kwa mujibu wa VOA jioni ilisemwa ni kwa sababu za KIUSALAMA
Mkuu kwani ni sherehe za nini hizo?si ni ya kuapishwa Uhuru?

Sioni unasahihisha nini maana hakuna sehemu nimesema alikwenda Kasarani.
 
Mkuu kwani ni sherehe za nini hizo?si ni ya kuapishwa Uhuru?

Sioni unasahihisha nini maana hakuna sehemu nimesema alikwenda Kasarani.

Sherehe za kuapishwa Uhuru zilifanyika UWANJANI pale ndipo alikoapishwa na dunia ikaona.

Marais na wageni walihudhuria pale Uwanjani.

Lakini IKULU kulikuwa na hafla, sio tendo la kuapishwa,
So Netanyahu hakwenda kasarani amekwenda IKULU.

Kuapishwa ni tendo lile kuna maneno unayatamka ndo tunasema umeapishwa but pale ikulu ilikuwa kupiga soga tu, hata mama samia hakuwepo Ikulu alikwenda uwanjan, akaenda kwa Lissu akarud zake HOME.
 
Jana tulisema apo kisarani was not safe to bring our President, Mkapiga yoweee sasa Mpaka muambiwe na Agency za Israel ndio mjue mazingira hayakuwa rafiki apo stadium
Labda hafla za Ikulu ndio Security level ilikuwa Juu ndo mana netanyau aka attend party apo State house na sio kisarani kule
 
Kwahiyo we mpumbavu mama samia aliendaje km hapo Lumumba mlikuwa mnahofia usalama wa viongozi wenu? ?Achenikumkuza mtu ambaye hata hajui anafanya nn
 
Jana tulisema apo kisarani was not safe to bring our President, Mkapiga yoweee sasa Mpaka muambiwe na Agency za Israel ndio mjue mazingira hayakuwa rafiki apo stadium
Labda hafla za Ikulu ndio Security level ilikuwa Juu ndo mana netanyau aka attend party apo State house na sio kisarani kule
kisarani=KASARANI; sawa. Back to the topic: mbona basi HAKWENDA Ikulu kama Mwebrania alivyofanya? Au unamaanisha Msukuma Fake ana thamani/akili KUBWA kuliko Netanyahu; kwamba hata Ikulu ya Nairobi HAIJAKIDHI viwango vyake vya usalama? Cha!
 
Sherehe za Kuapishwa Uhuru zilifanyika UWANJANI pale ndipo alikoapishwa na dunia ikaona.
Marais na wageni walihudhuria pale Uwanjani.
Lakini IKULU kulikuwa na hafla, sio tendo la kuapishwa,
So Netanyahu hakwenda kasarani amekwenda IKULU.
Kuapishwa ni TENDO lile kuna maneno unayatamka ndo tunasema umeapishwa but pale ikulu ilikuwa kupiga soga tu,hata mama samia hakuwepo Ikulu alikwenda uwanjan,akaenda kwa Lissu akarud zake HOME,
Sherehe ya kuapishwa ina sehemu mbili:
1. Kuapa ambayo uwa kwenye public area,
2. Kupongezana na kujumuika na wageni waalikwa aka hafla.

Sasa usichoelewa ni nin?
 
Back
Top Bottom