Insecurity in Kenya: Magufuli just like Netanyahu didn't attend Kasarani for Uhuru's swearing in!

Sherehe ya kuapishwa ina sehemu mbili:
1. Kuapa ambayo uwa kwenye public area,
2. Kupongezana na kujumuika na wageni waalikwa aka hafla.

Sasa usichoelewa ni nin?
Namba 2 huwa dhifa ya kitaifa,au kupongeza as u say,ila namba 2 haiji bila tendo namba 1 kufanyika ambalo ndo TENDO HUSIKA.
Na MAMA SAMIA alimpongeza jana ileile,mzee Kikwete alimpongeza before Jana.
Ila sherehe ya KUAPISHWA ni ile ya KULA KIAPO HADHARANI, hii ya pili SI LAZIMAA NA huwa haipo kisheria.
 

Ina maana rais wenu anahofia usalama wake zaidi ya marais wote waliokuja, yaani anawindwa kimataifa na mashababi, maana mtu kama Netanyahu kuuawa itakua habari ya miaka mingi sana, nchi kama Iran na mataifa mengine makubwa yanatafuta sana fursa ya kumumaliza.
 
Benja alikuwepo apo kasarani stadium? Ivi unajua Rais maarufu zaidi ktk ukanda wetu huu wa EAC ni yupi?
 
Benja alikuwepo apo kasarani stadium? Ivi unajua Rais maarufu zaidi ktk ukanda wetu huu wa EAC ni yupi?

Viongozi wenye hadhi kwenye kiwango cha Benja wanaeleweka maana wana ugomvi na mataifa makubwa kwenye ligi ya juu, na pia wanasakwa sana na magaidi ya aina kama ISIS.
Sasa nyie Waswahili baada ya kushiba uji wa ulezi mnakaa mkifikiria dunia h kuna mtu anawaza kuwahusu.
 
Ni statehouse IPI wezi wa kuku walipenyeza na kuwaiba kuku huko Tz?
Ni police station IPI katikati mwa capital city ya Tanzania Ilivamiwa na silaha kuibiwa mchana kueupe?
Hahahaha ×100 the above incidents should make it in Ripley's believe it or not and Guinness book of records as the most hilarious hata Somalia hajawahi tokea such.
 
Narudia tena sijui unabisha kitu gani? Kuwa Netanyahu hakwenda kwenye sherehe za kuapishwa Uhuru?kuna issue hapo kweli?
 
Narudia tena sijui unabisha kitu gani? Kuwa Netanyahu hakwenda kwenye sherehe za kuapishwa Uhuru?kuna issue hapo kweli?

Mie sikubishii
TUKUBALI KUTOKUBALIANA, ili tuendelee na mambo mengine.
 
Magufuli just like Netanyahu didn't attend Kasarani for Uhuru's swearing in
unapotosha watu wewe Magufuli didnt go to Kenya at all sasa itakuwaje yeye awe kama Nentayahu ambaye alienda Kenya ila hakuenda kasarani? haya mambo yakutaka kubishana kishamba hayana maana ovyooooooooooooooo
 
Secret agents wetu walishafanya Kazi yao muda tu.. Hatuwez kumleta Raisi wetu wakati jeshi lenu la kizembe ivyo.. Mkitaka aje Jeshi la Kenya likae pembeni ndo atakanyaga
 
Secret agents wetu walishafanya Kazi yao muda tu.. Hatuwez kumleta Raisi wetu wakati jeshi lenu la kizembe ivyo.. Mkitaka aje Jeshi la Kenya likae pembeni ndo atakanyaga
Tumepoteza jamaa wao watatu walipokanyaga Zanzibar!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] that's why I said you are ignorant in English what you are arguing is rubbish and myopic I can't argue with you on that subject because you have shown how nude you are on the matter The proper meaning of flee is simply "run away" you may run away from anything
 
not only are you deficient in the English language, but in comprehension too. baki na ujinga wako and by the way I don't understand where you are coming from and you are not REDEEMER. who coiled his tail and was seen heading to shule ya msingi ya mbulu to ask for his refund!
tokomea mbali ibilisi...
 
hao waisrael na akili zao wameshindwa kumlinda huyo nyau?
 
How can you compare Netanyahu and Magufuli at this stance?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…