Hii tabia ya kujiamulia vitu mwenyewe imeanza alipomiliki simu ya kufuta.Unajua nitakumiss lakini au unajichukulia hatua tu bila kunishirikisha?
Ngoja nisubiri nijazwe na tigo. Huenda nikajitahidi kuku pmWewe tuma namba yako tu pm bwana maana sitaki kukumiss nitakufwaa.
Jaza ujazwe.
Ila usinisahau nina degree ya kuonja futari na Masters ya kuamsha watu kula daku[emoji12]Anha. Amen
Hawa dawa kucharaza viboko pmHii tabia ya kujiamulia vitu mwenyewe imeanza alipomiliki simu ya kufuta.
Wacha niwapigie huduma kwa wateja wafanye harakaNgoja nisubiri nijazwe na tigo. Huenda nikajitahidi kuku pm
Amen. Ila mimi ntarudi tena.Jamaniii mbn mmezidi kuagaa??? Sky kaaga Arabian kaaga na weye tenaaa???? Alfu wale maarufuuu ndiyo mnaagaa
Haya bhanaa all the Best
Si hajanunua ndo maana najiamulia[emoji16][emoji16][emoji16]Hii tabia ya kujiamulia vitu mwenyewe imeanza alipomiliki simu ya kufuta.
Kabisa, ila msubiri kwanza amalize mfungo.Hawa dawa kucharaza viboko pm
Zaidi ya niniJamani, hii ni zaidi.
Ntakuwa nakupigia cm. Uje udoee futari. Na dakoIla usinisahau nina degree ya kuonja futari na Masters ya kuamsha watu kula daku[emoji12]
Mfungo bado. Kwa usalama wake aje pm tu tuyamalizeKabisa, ila msubiri kwanza amalize mfungo.
Huwa hatucharazwi na fimbo.Hawa dawa kucharaza viboko pm
Naona kuna wimbi la members kuaga tu. Ndo maana nikasema hii zaidi. Haiwezekani mtuache peke yetu humu.Zaidi ya nini
Nasubiri wanijazeWacha niwapigie huduma kwa wateja wafanye haraka
Nitakumiss pia duuu ila mwezi mzimaaa kha khaa utakuta wengine tumekonda....Amen. Ila mimi ntarudi tena.
Ntakumiss
Hahaha sawa mkuuMfungo bado. Kwa usalama wake aje pm tu tuyamalize