Inshaalah :Tutaonana baada ya mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani kuisha

Inshaalah :Tutaonana baada ya mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani kuisha

1ffe039ae85e66c128e27b2253bfecbc.jpg

Nawatakia mfungo mwema wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Ntadumu hapa mpaka kesho saa kumi jioni. Kisha ntakuwa njee ya hapa mpaka tumalize mfungo.

Nawapenda
Hakika wengi tutakaa kando Mimi naungojea mwezi uandame mpenzi,nakutakia mfungo mwema M/Mungu atujaalie kutimiza ibada hii
 
Kwann nipe sababu 2 mnk mi rafiki yangu uwaga akifuturi anarud kwenye sigara ila wewe umegoma mwez mzim hutaki mada za humu
 
Back
Top Bottom