Lizarazu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 6,333
- 7,879
Kwa jinsi mnavyo badilishaga lifestyle kwa hizi siku 30, kisha baada ya siku hizo siku kuisha mnarudi kwenye lifestyle yenu ya zamani ulioizoea utafikiri miezi mingine yote hampaswi kuishi kama ulivyoishi ndani ya hizo siku 30.Tunakufurahishaje.??