Inshaalah :Tutaonana baada ya mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani kuisha

Tunakufurahishaje.??
Kwa jinsi mnavyo badilishaga lifestyle kwa hizi siku 30, kisha baada ya siku hizo siku kuisha mnarudi kwenye lifestyle yenu ya zamani ulioizoea utafikiri miezi mingine yote hampaswi kuishi kama ulivyoishi ndani ya hizo siku 30.
 
Hatubadiliki. Ila huu mwezi tunaupa heshima sana. Na sio kwamba tutabadilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…