Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,540
Nawatakia mfungo mwema wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Ntadumu hapa mpaka kesho saa kumi jioni. Kisha ntakuwa njee ya hapa mpaka tumalize mfungo.
Nawapenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo nimeshakushirikisha hivi.Unajua nitakumiss lakini au unajichukulia hatua tu bila kunishirikisha?
AmeenBaki jamvini bhana me ntakusaidia kufunga, we kazi yako itakua Swala, JF, Kufuturu na kula daku tu.
Hunitakii mema kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16]Baki jamvini bhana me ntakusaidia kufunga, we kazi yako itakua Swala, JF, Kufuturu na kula daku tu.
Amenukitoka kwenye mfungo ubadilike.
Kivipi???Kutenda mema kwa muda mfupi
Kiurahisi tu hivi. Haya namwachia molaNdo nimeshakushirikisha hivi.
Hahaaa [emoji23][emoji23][emoji23].umesharidhia tayari. ChanteeeeKiurahisi tu hivi. Haya namwachia mola
Ntakumiss. Mzee wa [HASHTAG]#Aisee[/HASHTAG]Kiurahisi tu hivi. Haya namwachia mola
Hahaha kukuepusha kushinda na njaa sikutakii mema tena?Hunitakii mema kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16]
Wewe tuma namba yako tu pm bwana maana sitaki kukumiss nitakufwaa.Hahaaa [emoji23][emoji23][emoji23].umesharidhia tayari. Chanteeee
Ntakumiss. Mzee wa [HASHTAG]#Aisee[/HASHTAG]
Anha. AmenHahaha kukuepusha kushinda na njaa sikutakii mema tena?