huo uzushi umeuto wapi?,maaa yeye kakanusha ,Roberto Carlos nega conversão ao islã: 'Tenho o maior respeito'Amesema jana sheikh Litengule akiwa na furaha sana. Kwa kweli tulisheherekea sana. Ndo maana nlikuwa nawaza toka zamani huyu jamaa yale mashuti mbona kama anafaa faa kuwa muislamu? Takdir
......safi sana sana. Nadhani baada ya kuona mwenzie C. Ronaldo amekuwa muislamu na yeye kaona aifuate dini hiyo.
Sheikh Litengule ameelezea sana jambo hili jana kwenye swala ya Maghrib nikafurahi sana kwa kweli wote tulifurahia na kumshukuru kwa kuwa na taarifa nyingi sana.
View attachment 3653812