Inside a US transport taking off from Kabul

Wale raia waliokuwa wakiandamana South Africa na kuvunja maduka na kupora kwa kisingizio cha Jacob Zuma kukamatwa unadhani ni kweli walimpenda au walitafuta sababu tu?
 
Wale raia waliokuwa wakiandamana South Africa na kuvunja maduka na kupora kwa kisingizio cha Jacob Zuma kukamatwa unadhani ni kweli walimpenda au walitafuta sababu tu?
Hii ishu ni tofauti na ya south Africa kabisa mkuu. Wale walikua wanaleta fujo ndani ya ardhi yao lakiji hawa wanaikimbia ardhi yao. Na pia wale walikua wanavunja na kuiba mali lakini hawa hawavunji wala kuleta fujo wanasepa kimya kimya bila vurugu na hasara kwa nchi. Sijaona ufananisho huo umelenga nn zaidi mkuu
 
Wanawatukana na kuwaita makafiri halafu wanakimbilia kwao ..hili dini ni tatizo tupu.
Wanakimbili nchi za makafirii[emoji1]

Halafu wakifika huko wanaanza kulazimisha taratibu zao kutawala wenyeji .

Huwa siwaelewi Sana Hawa watu wa upande wa kushoto.

Huwa wanafujo Sana .
 
We chief acha dhihaka, unajua hao baada ya kuchukuliwa na hiyo ndege walipelekwa wapi? Kwa akili zako unahisi wamepelekwa Marekani sio? Walipekewa Qatar. Je Qatar ni Marekani?
Wako Uganda hapo
 
Bek 3 kajipindua umekula mzigo adhabu viboko 100 tena inachapwa mbele na kurudishwa nyuma hiyo fimbo!!!hahaha ina maana ni viboko 200 inakuwa...hahaha jamaa anakuchapa fimbo kama mtu anavyokata majani na slesher
Hahahahah wajuba wamejichenga zao kwa Bidden
 
Wanakimbili nchi za makafirii[emoji1]

Halafu wakifika huko wanaanza kulazimisha taratibu zao kutawala wenyeji .

Huwa siwaelewi Sana Hawa watu wa upande wa kushoto.

Huwa wanafujo Sana .
Yani hawa watu ni tatizo kabisa wanauoga Fulani wa kutokujiamini hivyo wanatafuta uruma wakishaipata basi wanatafuta kukubalika maana wanaona kama wanaonewa. Hii tabia ipo sana kwa watu wengi wa aisa huko hasa arabuni na afrika magharibi..na wengi ni hawa wenzetu upande wa pili
 
We chief acha dhihaka, unajua hao baada ya kuchukuliwa na hiyo ndege walipelekwa wapi? Kwa akili zako unahisi wamepelekwa Marekani sio? Walipekewa Qatar. Je Qatar ni Marekani?
Tena wamekuja Hadi Uganda
 
Sasa mbona wamekimbia nchi Yao , Uganda wameshushwa 2000
 
Sasa mbona wamekimbia nchi Yao , Uganda wameshushwa 2000
Hao ndio waliodandia kwa bahati mbaya

Ndege ilipelekwa kwaajili ya wamarekani wachache pamoja na baadhi ya mamluki wa Marekani ili kuwaepusha kuingia mikononi mwa serikali mpya ya Taleban
 
Ni kweli wameletwa Uganda?? Ina maana hadi ndugu zao Qatar wamewakataa ..tena ni ndugu zao hasa katika imani..
Sio kama Qatar wamewakataa, pale Qatar Marekani ana Military base tu, hivyo aliwafikisha pale ndipo wakatafutiwa sehemu ya kupelekwa.
 
Sio kama Qatar wamewakataa, pale Qatar Marekani ana Military base tu, hivyo aliwafikisha pale ndipo wakatafutiwa sehemu ya kupelekwa.
Oho ina maana wamekosa kabisa hifadhi kwa ndugu zao huko Saudia,Oman, Kazakhstan, hadi wake huku Africa? Lazima kuna kitu hapo hakija Kaa sawa.
 
Je kunywa bia na kuvuta bangi kwa sheria za Tanzania hivi vitu viko sawa?
Sasa hapo unataka kuweka maswala ya dini ndani ya katiba ya Tz wakati unafahamu kabisa Tz haina dini
 
Hawaendi USA moja kwa moja
 
Hebu jistahi wewe! Unajua ni nani hadi sasa anaongoza kuua? Hitler alikuwa Muislam?
Sasa mzee mbona unafananisha vitu viwili tofauti, bc tuseme na wanajeshi wakienda vitani na kuua ni Waislamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…