Daah mkuu zile clip za raia kuikimbiza hiyo ndege, raia kudandia ndege na kuanguka nyingine hiyo picha apo bado unasema raia wanaikubali taleban??
Hata kama ni izo propaganda mkuu kuna mda kweli ukweli uongo hujitenga. Mamia ya raia wanahamia nchi jiran. Na hapo juzi walipoutwaa mji wa kabul walirusu raia wanaotaka kusepa wasepe kwa amani, sasa kama wanakubalika kweli watasaje raia wanaotaka kuondoka waondoke ilhali wanajua wanapendwa, hao wa kusepa watatoka wapi kwa serikali pendwa.??
Inawezekana ni woga wa raia wakikumbuka yaliyopita labda, ila saiz naona wavaa kobazi wamekuja na njia tofauti labda sioni zile amsha wala vurugu zaidi ya panic ya wananchi.