Kwenye katiba ya Tanzania miongoni mwa haki za kila mmoja ni pamoja na uhuru wa kuabudu, kaisome vizuri katiba kama unayo. Tanzania haina dini lakini Watanzania wana dini, na ndio maana hata mahakama ambayo ni ya serikali lakini unakula kiapo kwa mujibu wa imani yako.
Ungejibu kwanza kisha ukatoa hoja yako ungefanya la maana.