Political stability
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 906
- 1,401
Hata Qatar safi tuWamepelekwa QATAR na sio USA.
USA sio mjinga kiasi hicho kuingiza watu hovyo kwa ardhi yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Qatar safi tuWamepelekwa QATAR na sio USA.
USA sio mjinga kiasi hicho kuingiza watu hovyo kwa ardhi yake.
Kwenye katiba ya Tanzania miongoni mwa haki za kila mmoja ni pamoja na uhuru wa kuabudu, kaisome vizuri katiba kama unayo. Tanzania haina dini lakini Watanzania wana dini, na ndio maana hata mahakama ambayo ni ya serikali lakini unakula kiapo kwa mujibu wa imani yako.Sasa hapo unataka kuweka maswala ya dini ndani ya katiba ya Tz wakati unafahamu kabisa Tz haina dini
Imeruhusiwa kuua kwa ajili ya kujilinda, maana bila kufanya hivyo unaweza kupoteza wewe uhai wako.Sasa mzee mbona unafananisha vitu viwili tofauti, bc tuseme na wanajeshi wakienda vitani na kuua ni Waislamu