Insincts/machale/6th sense & intuition...

Mimi nadhani binadamu wote tuna intuition. Kusema kwamba kuna watu hawa experience hii hali nadhani ni sawa na kutokusema ukweli.

Sasa intuition siyo exact science kama nilivyosema hapo awali lakini haina maana huwa haziko sahihi pia. Kuna wakati mtu unapatwa na hisia fulani fulani halafu hayo mambo uliyokuwa unayahisi yanatokea kweli.

Kusema kuna watu hawa experience intuition ni sawa na kusema kuna watu hawaendi haja - iwe kubwa ama ndogo!
 
hunch? deja-vu? probably inaweza kukupa hint of what is or is about to happen but haiwezi kuwa basis ya kufanya action or decision

For real, ...."indecision" hapo..unakusudia kusema you dont trust your instincts sio?
 

Definition ya Superstition ni kubwa
mimi huwa naita kujua 'strength na weaknesses zako'
 
Reactions: Mbu

Kaka, hiyo intuition na instincts zinapishania wapi....maana kuna wataodai hata phobia
zatokana na personal experiences zilizojizika kwenye mzizi wa roho...wengine hudai "...ukiwa na roho nyepesi/ndogo!..."
 
Definition ya Superstition ni kubwa
mimi huwa naita kujua 'strength na weaknesses zako'

...hehe...unanipeleka kwenye Johari Window au?
Yeah, kuna ukweli hapo hiyo 'sense of danger/alarm' inayokuwa triggered
mostly na 6th sense yatokana na weaknesses fulani ee?...

Umenipeleka karibia na ufahamu kiasi wa nafsi yangu kwa ninalojiepusha nalo
maishani....enhe, tuendelee...
 
....nice, upo deep kumbe na haya mambo ya yoga ee...
yeah, subconcious mind ni muhimu kuisikiza ila najiuliza hii
Inakuwa influenced zaidi na personal experiences ama nini?

The Boss, kumradhi sikukutaja awali...nimwagie maujuzi kaka...
if you can read yr mind precisely definetly hiyo makitu itafanya kazi..unaweza hata kumtazama mgonjwa na ukajua atapona au la!
 
Reactions: Mbu
afadhali kama na wengine huwapata hii
hapa napoishi walilkuwa wananitania nata kuwa babu wa Loliondo.

Ila nadhani inatokana na experince ya maisha
skills za ku-analyse mambo nadhani zinakuwa kubwa.

Sidhani kama ni 'superstition'

wakati mwingine hata ndoto
unaota ndoto afu haitoki kichwani
na kila ukiikumbuka unapata kiwewe

tena kuna wakati wala hujasinzia sana lakini unaota
na ndoto za kuota ukiwa macho ndo mbaya zaidi
maana zinaacha waziwasi sana.

Wewe umenielewa vizuri sana.....Big Up!!!
Ume summerize 99% ya kilichomo akilini mwangu...
'spooky!'
 
Reactions: Mbu
For real, ...."indecision" hapo..unakusudia kusema you dont trust your instincts sio?

not always... ; as a 'hint' or 'lead' to some analysis or investigation sawa, otherwise tutakuwa hatuna tofauti na wapiga ramli
 
Reactions: Mbu
Kaka, hiyo intuition na instincts zinapishania wapi....maana kuna wataodai hata phobia
zatokana na personal experiences zilizojizika kwenye mzizi wa roho...wengine hudai "...ukiwa na roho nyepesi/ndogo!..."

Intuition ni uwezo wa kuhisi/ kujua mambo bila ithibati. Waweza pia kusema ni hisia muongozo kwa sababu unawaweza kuzitumia hizo hisia kufanya ama kutokufanya jambo.

Instinct ni kitu au jambo unalolijua bila kujifunza wala kufikiria. Kwa mfano, nikija hapo ulipo na kuelekeza fimbo karibu na mboni ya jicho lako lazima utalifumba.
 
hakuna kitu sipendi kama kutabiri msiba
au kuzungukwa na roho ya umauti karibu
inaleta woga.

if you can read yr mind precisely definetly hiyo makitu itafanya kazi..unaweza hata kumtazama mgonjwa na ukajua atapona au la!
 

.....aisee, shukrani kwa ufafanuzi huu...hiyo intuition ndio ninayoikusudia kwenye mdahalo huu...
yaani najikuta kuna baadhi ya siku kuna jambo nalihisi kutokea iwapo nitafanya jambo fulani...
i hope am not getting delusional, au schizophrenia....hii old age mashaka nayo..
 
Here below is the situation..

What you hope, you'll eventually believe, what you believe you'll eventually know, what you know, you'll eventually create, what you create, you'll eventually experience, what you experience you'll eventually express, what you express you will eventually become
 
Reactions: Mbu
Sijui kwa nini huyo mwandishi alii-connect to women only. Lakini kuna some religious explanation nadhani. Huoni kama wanawake tuko very manipulative? (inaitwa roho ya utambuzi nadhani...)

The only formulae for being miserable is trying to please everyone. Hiyo ni one way ticket to failure-land!
Aisee mie mtu ambae hanipi front seat kwenye maisha yake asitegemee hata nafasi kwenye keria manake bora nibebe gunia la mkaa! Gawa muda wako accordingly, wengine a simple apology ama a drop inatosha. Mie nikienda home town kwanza i dont even tell people nipo. Tukikutana hata sisemi naondoka lini. Akilalamika mtu namuambia there was an emergency, so had to leave. Wape muda walio karibu na wewe bwana, trust your guts,lol!

:tape2:Hii siginecha sasa, mbona iko biased? Couldnt help noticing,lol

 

Nuuh...I don't think you are getting delusional (although I haven't done any evaluation). Ni kawaida ya binadamu kupatwa na hisia kama hizo. Na kuna wakati huwa zinaongezeka na kuna wakati huwa zinapungua. It's just part and parcel of the human experience.
 
Mimi huwa napenda kuiita ESP - Extra Sensory Perception
 
Reactions: Mbu
zipi,za kiroho?
ulinzi wa mababu?
uzoefu wa yaliyowahi kuku kuta,kusikia
ama...
maana subconcious zina base

.....subconcious zina base....aiseee...nimeupenda usemi huo


...hebu wacha uchokozi...signecha haihusiani na huu mdahalo bana...😉
 
halafu hizi 'intuition au instinct tunazungumzia zaidi binaadamu hapa
lakini wanaofuga wanyama watakwambia mambo meengi mno ya ajabu
mfano nyumba yenye mgonjwa anaekaribia kufa
halafu kuna ngo'mbe na njiwa mfano
kuna ishara kibao....mfano njiwa hukimbia masaa kadhaa kabla mgonjwa kufa
ngo'mbe pia huwa na milio na tabia tofauti msiba ukikaribia.....

hivi mnajua ile Tsunami ya Indonesia......hakuna wanyama waliokufa?
wote walikimbia kabla ya tsunami kuanza.......
na wanasansi wanayo explanation ya hii kitu
 

...ndio yale wasemayo, 'we are the drivers of our own thoughts'


...ahh, shukran bro madhali ni kawaida...(japo nami nilikuwa naamini hivyo pia) acha ni buy time
na ku play cool...kuna wataolalama sikujali, but it's better to follow my "intuition" 1st....dahh
 
@the boss
kwenye ng'ombe na mbwa kuna ukweli
ila mie niliona baada ya msiba
hawa wanyama walichanganyikiwa kama binadamu

ila kwa wafugaji, tunaamini mwenye nyumba akiondoka hata wanyama wa nyumbani kwake huwa wanafahamu na kuomboleza.
Ndo maana lazima ng'ombe huwa achinjwe wakati wa msiba wa mwenye nyumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…