Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mimi nadhani binadamu wote tuna intuition. Kusema kwamba kuna watu hawa experience hii hali nadhani ni sawa na kutokusema ukweli.
Sasa intuition siyo exact science kama nilivyosema hapo awali lakini haina maana huwa haziko sahihi pia. Kuna wakati mtu unapatwa na hisia fulani fulani halafu hayo mambo uliyokuwa unayahisi yanatokea kweli.
Kusema kuna watu hawa experience intuition ni sawa na kusema kuna watu hawaendi haja - iwe kubwa ama ndogo!