Inspector Haroun aka Babu afanya kazi za ulinzi

Watu wengi wanaangaika na mambo meeengi,baadae wanakuja kugundua talent zao ukubwani, ni kawaida tu hiyo
 
acha dharau....ww ndy una kazi nzuri sana....hata kama mchzi anapga kazi hyo poa tu as kila siku mkono unakwenda kinywani...

Hivi umeelewa nilichokiandika mkuu!?
 
Babu anamiliki garage flan hiv tmk so yawezekana anapiga lindo mwenyew, sio mbaya lakin
 
mleta mada ameuliza si mumjibu lakini? ila hii habari ni ya mshituko kulingana na level aliyokuwa hapo mwanzo hadi kushuka hadi kwenye ulinzi (ingekuwa ulinzi wa majuu sawa ila kibongo bongo tuweni tu wakweli ulinzi si ishu. Labda pia ni lindo la ofisi yake mwenyewe ngoja wajuzi wa habari za mji waje watupe info.
 
Wabongo bana..ndo maana nashanga wanavyotuita wabeba box..
 
Nje nje nje ndani popote kambi baba weka maskani,kimbiza babu,kazi ni shughuli yeyote halali....waache vinabo wachonge huku wakiteketea kwa sembe....
 
"wanachezea sharubu za babu, masaji miksa skrabu, babu yao anawafunza adabu....."
 
Mkuu warumi tafadhali fatilia hili swala utuletee habari kamili.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu warumi tafadhali fatilia hili swala utuletee habari kamili.

hana uwezo wa kutia puwa yake tmk mikoroshini, kule atachambia sime.

ifike wakati tuheshimiane tetesi za kipuuzi kama hizi jf itachukuliwa kama forum ya majungu tu.

tunahitaji thread kama ya yombayomba kwamba sasa hivi ni muosha magari na picha ziliwekwa kama vivid evidence.
 
Last edited by a moderator:
swala la babu kuwa fundi magari nimelisikia ila la ulinzi bado jipya kwangu,
 
Shuruba sio bongo hata uk,newyork stockholm hilo lazima ufahamu haujawahi kusikia mtu kalala njaa ndani ya paris ufaransa? Au kwakuwa mji wa maraha basi unajua watu hawalambi galasa? Hizi biere totoz ni rasharasha bado mvua kamili haijanyesha alaaa ebo sisi paka weweeeeeeeee!!
 

kuna mtu.mmoja anaitwa joseph nswima alikua anaupenda huu wimbo mnoo wakati tupo azaboys.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…