Inspekta aachia Diss kali kwa Roma.. "Unajiita Mkatoliki wakati unasali kwa Gwajima?".

Asituchefue na yeye hilo jina la Roma ndio kwanza analisikia tangu azaliwe ? yeye anaejiita Inspekta alikwenda mafunzoni lini?naende uko anatafuta Kiki...
 
Na huyo aliyeleta hii post si mnamjua jamani, wale wale wa buku saba wale... Inspector kapewa buku Saba zake, huo wimbo ukasambazwa kwa hawa team Bashite waulete kwenye social media.... Bashite anahangaika kweli kweli....
Utayakula tu
 
JAMANI MIMI UZULI WANGU ISPEKTAA NAMFAHAMU VIZULI SANA. .......

TANGU NINAISHI TEMEKE MIKOROSHINI HADI KWAO NAKUFAHAMU NA TANGU ANAANZA KUIMBA NINAMUONA.

KABLA HAJAANZA HAJATOKA KIMUZIKI ALIKUWA ANAUZAGA MITUMBA TANDIKA SOKONI NA KIJIWE CHAKE KILIKUWA KINAITWA FOMA CAMP .

KWA KIFUPI ISPECTA AMETOKEA MAISHA YA CHINI SANA HIVOO ACHENI AIMBE ANGALAU APATE KITU KIDOGO SASA HIVI MSHIKAJI ANA HALI MBAYAAAA
 
Nakuunga mkono kabisa hilo suala la kupata wap hela ya kurekodia.....wiki mbili zilozopita alikuja huku wilayan...had aibu anaomba bia....akmchukua kahaba na akaliibia...amebaki na ile mi silva bati shingon.usanii bongo unatia huruma
 
Inspekta Haroun, alitumia lugha kali sana. Ule wimbo huwezi hata upload hapa. Lakini Ney alimpotezea tu
NEY WA MITEGO NDIO WALEWALE HUYU JAMAA ALIWAHI KUTOA WIMBO UNAITWA UTAFAHAMIKAA.....

KATIKA ULE WIMBO KUNA MISTARI ALIFLOW KUMPONDA ISPECTAAA NDIO MAANA NAE ISPECTAA AKAMJIBUU........

MIMI UKWELI WANGU NAMKUBALI SANA ISPECTAA ILA SHIDA NI KWAMBA AMEPOTEZA MWELEKEO
 
Mkuu, ungeusikiliza ule wa matusi wa Inspekta kwanza halafu ndiyo uka compare. Ni matusi ya nguoni na hata hausikiliziki

Kumponda au kumdiss ni kawaida sana kwa wasanii ila siyo kutukana kiasi kile. Na hakushtakiwa kwa sababu ni kada wa CCM
 
Du unakaa kabisa unatunga ujinga kumnanga mwenzio. Inspecta alitakiwa afundishe vijana kuimba nyimbo zenye message siyo kujiingiza kwenye mipasho. Huku ndiko tunaita kuimbia njaa
 
huyu Inspekta kesha, kazi kuzijibu nyimbo za watu tu, alishajibu mjibu mwana fa na leo roma
 
alichezea maisha ana tapatapa tu huyu domo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…