Inspekta wa Polisi Morogoro apewa "Toto" la Kiarabu na Sheikh Kishki

Uzi ushavamiwa na kuwa wa kidini
 
Peponi kuna Uzinzi tena, yani mwanaume upewe wanawake bikra 72? Peponi gani hiyo ya kufanya ngono. Hapo waislamu mlipigwa.

Peponi hakuna uzinzi, peponi ni kumsifu mungu tu. Nyie mnawaza uzinzi tu, hakuna agano hilo kati ya Binadamu na MUNGU kwamba upewe wanawake wewe kazi iwe kufanya ngono tu. 😂😂😂
 
Siyo 72 tu, walikudanganya.

Huko hakuna hesabu, ukifikiria tu, unao.

Kimbembe kwenu sasa mnaoenda mbinguni, mtakulana kondoo na wachungaji.

Kwi kwi kwi teh teh teh.
 
Ma shaa Allah, kumbe mambo mazuri huko.

Kazi sasa kwa wanaokwenda mbinguni badala ya peponi.

Mbinguni huko kuna kukulana kondoo na wachungaji wao tu.
 
Katika pitapita zangu nimekutana na hii mada kutoka kwa mkulungwa mmoja; Soma hapo chini.

Kwa hiyo huyo jamaa anamaanisha kwamba mbinguni kutakuwa na Ngono tu kwenda Mbele, yani upewe wanawake Bikra 72, wewe kila siku ni kutiana tu. Sidhani kama kuna Agano la hivyo kati ya Binadamu na MUNGU kwamba ukafanye ngono mbinguni. Labda wakristo mnieleweshe hapo kidogo, hiyo mizagamuano na wanawake 72 inawezekanaje huko juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…