Inspekta wa Polisi Morogoro apewa "Toto" la Kiarabu na Sheikh Kishki

Inspekta wa Polisi Morogoro apewa "Toto" la Kiarabu na Sheikh Kishki

Ukweli usemwe wazi hongera Inspector kuhusu mavazi, ingependeza akina mama wa kikristo nao uvaaji wao uwe kama Mariam Mama wa Yesu
 
Siyo 72 tu, walidanagnya.

Huko hakuna hesabu, ukifikiria tu, unao.

Kimbembe kwenu sasa mnaoenda mbinguni, mtakulana kondoo na wachungaji.

Kwi kwi kwi teh teh teh.
Ni wanawake wangapi

Sasa mbinguni gani hiyo upewe wanawake wa kufanya nao ngono.

Na wewe kabisa FaizaFoxy uatakuwa miongoni mwa hao wanawake 72 ambao kazi yenu itakuwa ni kunanliuu tu.

Ngono ni hapa Duniani tu, ahera hakuna ngono
 
Ma shaa Allah, kumbe mambo mazuri huko.

Kazi sasa kwa wanaokwenda mbinguni badala ya peponi.

Mbinguni huko kuna kukulana kondoo na wachungaji wao tu.
Nasikia na wanawake wa kiislamu nao watapewa wanaume 72.
Jiandae kufurahia mambo mazuri
 
Peponi kuna Uzinzi tena, yani mwanaume upewe wanawake bikra 72? Peponi gani hiyo ya kufanya ngono. Hapo waislamu mlipigwa.

Peponi hakuna uzinzi, peponi ni kumsifu mungu tu. Nyie mnawaza uzinzi tu, hakuna agano hilo kati ya Binadamu na MUNGU kwamba upewe wanawake wewe kazi iwe kufanya ngono tu. 😂😂😂
Mmh bora pepo ya wasilamu mimi mambo ya kusifu milele siyawezi
 
Peponi kuna Uzinzi tena, yani mwanaume upewe wanawake bikra 72? Peponi gani hiyo ya kufanya ngono. Hapo waislamu mlipigwa.

Peponi hakuna uzinzi, peponi ni kumsifu mungu tu. Nyie mnawaza uzinzi tu, hakuna agano hilo kati ya Binadamu na MUNGU kwamba upewe wanawake wewe kazi iwe kufanya ngono tu. 😂😂😂
wanapenda uzinzi ndo maana wakapewa ahadi ya wanachokipenda.
 
Mbinguni huko kuna kukulana kondoo na wachungaji wao tu.
Hakuna kitu kama hicho huko mbinguni, Yesu Kristo hakuahidi mambo za kukulana mbinguni, huko ni mwendo wa kusifu tu, hakuna cha usiku siku zote ni mchana.

Mambo ya kukulana peponi yameahidiwa na Allah kwa mwanaume wa kiislam tu, watatunukiwa warembo huko peponi.
 
Yule mzungu mliozugwa kuwa ni mungu wenu na wazungu?
 
Back
Top Bottom