Inspekta wa Polisi Morogoro apewa "Toto" la Kiarabu na Sheikh Kishki

Inspekta wa Polisi Morogoro apewa "Toto" la Kiarabu na Sheikh Kishki

Polisi unaalikwa, badala ya kuongea kwa umakini na ku deal na jambo uliloalikwa, unaanza kutusi vibaya na kudharaulisha dini yake mwenyewe, huyu ni pumbafu sana, hana akili, busara hana kabisa, hapo ndio utajua nani anafaa kuwa kiongozi na nani hafai kuwa kiongozi…

Kwanza kwani wasichana wa kiarabu kwani wazuri kuliko waafrika? So hata kidogo hawawakuti kwa uzuri watoto wa kibantu, so ni upuuzi tu umeendelea hapo, wametoka nje ya mada na jambo la msingi la tukio husika.
 
Peponi kuna Uzinzi tena, yani mwanaume upewe wanawake bikra 72? Peponi gani hiyo ya kufanya ngono. Hapo waislamu mlipigwa.

Peponi hakuna uzinzi, peponi ni kumsifu mungu tu. Nyie mnawaza uzinzi tu, hakuna agano hilo kati ya Binadamu na MUNGU kwamba upewe wanawake wewe kazi iwe kufanya ngono tu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaa!Ila mwanakondoo amejiweka tayari akimsubiri bibi harusi hukohuko Mbinguni.
 
Hizi ni sifa muhimu sana kwa mwanamke, hasa adabu na utii hawa wake zetu wa kiswahili ni karibu ziro kabisa....
Hapana, hao siyo wa Kiswahili hao watakuwa ni Wakishenzi.

Waswahili tunajuwa maana ya mwanamke kujitunza ni nini.
 
Hahahaaa!Ila mwanakondoo amejiweka tayari akimsubiri bibi harusi hukohuko Mbinguni.
Mbinguni mwanamke atoke wapi? Huko kondoo na wachungaji wao na kuomboleza kwa mapambio tu.
.Totoz bila ya hesabu ziko peponi tu.
 
Katika pitapita zangu nimekutana na hii mada kutoka kwa mkulungwa mmoja; Soma hapo chini.


Kwa hiyo huyo jamaa anamaanisha kwamba mbinguni kutakuwa na Ngono tu kwenda Mbele, yani upewe wanawake Bikra 72, wewe kila siku ni kutiana tu. Sidhani kama kuna Agano la hivyo kati ya Binadamu na MUNGU kwamba ukafanye ngono mbinguni. Labda wakristo mnieleweshe hapo kidogo, hiyo mizagamuano na wanawake 72 inawezekanaje huko juu.
Suleimani alikuwanao 700 hapahapa duniani.Vp aliwezaje kuwazagamua hao wote?.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa nini Allah hakutoa ahadi kwa wanawake watakaoingia peponi?
Ametoa, Katika Surat Waaqia Aya ya 35 Hadi 37 Allah anaahidi wanawake wataoingia peponi watafufuliwa vigori, bikra, warembo wenye nuru....huko hawatasikia maneno ya upuuzi wala umbea umbea.

Katika Surat Yaasin Aya ya 55 Hadi 57...anaahidi watafufuliwa wakae humo na Waume zao wa duniani.
 
Sheikh wa ajabu huyu, badala ya kugawa ubwabwa ili awe sheikh ubwabwa ya anagawa totoz, kwa hiyo ni sheikh wa totoz. Vipi kuhusu tangazo lake lile la kulipia vijana mahari wao liliishia wapi, wangapi aliwalipia, au aliwapa totoz bure vijana waoe?
 
Suleimani alikuwanao 700 hapahapa duniani.Vp aliwezaje kuwazagamua hao wote?.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huwa hamuelewi historia za wafalme, hao wake wanaotajwa wamejumuishwa masuria na vijakazi wake wote wanawake....wafalme walihalalishiwa kumla yoyote katika watumwa na vijakazi wao (haikuwa kosa la kuzini kulala nao)

Kwa hiyo ukiambiwa wake 700 ujue wengine hakuwahi hata kuwaona Kwa Sura, sio kwamba alikuwa na ratiba nao....wengine alilala nao once in a lifetime (one night stand)
 
Katika matukio yasiyo ya kawaida Tanzania mojawapo ni kama hili lililotokea Morogoro.

Nakuwachia mwenyewe ujionee nisitie yangu:

View attachment 2777547
Hichi kituo kipo morogoro karibu na mikumi ni mbali kutoka moro mjini
Napajua vizuri hapa nilishawahi kwenda

Kwa anaetaka kuwasidia watoto yatima aisee akawasidie na hawa watoto ukitaka mawasiliano nitakupa
 
Ukweli kuna vitu vina ukakasi Et katotok ka kike miaka 4 mnakaziriba na juba sio ndio bai..bui..ukitumia commons sense Hapo..kukosa Elimu kwenye baadhi mafundisho ya kule jua linapotua kwenye matope
 
Back
Top Bottom