Inspiration history ya Kifesi; Mpiga picha maarufu wa WCB

Hivi kumbe humu jf kuna mpaka watu wa hovyo hovyo namna hii?
 
Jamaa yupo vizuri sana anaonekana sio mtu wakujiskia
We mpaka leo hajui kuendesha gari, ni nadra sana kutokea watu kama hawa , au ndo wasukuma wa shinyanga walivyo.....
Hata mimi nilishangaa kidogo kuhusu hilo
 
nakumbuka enzi hizo yuko active JF alikua ananipenda mwenyewe
ningemkubaliaga labda sa hivi ningekuwa natokea tokea kwenye video za WCB lol
Usiwaze.. Harmorapa yuko nje nje kabisa, we jipachike tu mama[emoji5] [emoji5] [emoji5]
 
Huyo tumemzingua sana humu na kumdharau kwa kumwambia yeye sio celeb he is just mpiga picha,ila alikuwa na ishu za kudwanzi zisizovumilika, at least now amekua kiakili, na hongera zake kwa upiganaji. Kwa madongo tuliyokuwa tukimpa humu angekuwa mkataji tamaa angeacha hiyo kazi
 
Hata selewi kinachoongelewa ngoja ninywe kiroba kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…