CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
Namkumbuka huyu dogo...alikuwa anazingua sana. Maybe kakua siku hizi
Mkuu hata mimi bado nakupendaga ujue....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namkumbuka huyu dogo...alikuwa anazingua sana. Maybe kakua siku hizi
Mkuu hata mimi bado nakupendaga ujue....
Mama hukua na ndoto endelevunakumbuka enzi hizo yuko active JF alikua ananipenda mwenyewe
ningemkubaliaga labda sa hivi ningekuwa natokea tokea kwenye video za WCB lol
Juzi tu nilikuwa jijini kwako...narudi next week...tukutane basi tupashe kiporo
Hata mimi nilishangaa kidogo kuhusu hiloJamaa yupo vizuri sana anaonekana sio mtu wakujiskia
We mpaka leo hajui kuendesha gari, ni nadra sana kutokea watu kama hawa , au ndo wasukuma wa shinyanga walivyo.....
Tatizo una viporo lufufu mpk vingine unavisahau...
Usiwaze.. Harmorapa yuko nje nje kabisa, we jipachike tu mama[emoji5] [emoji5] [emoji5]nakumbuka enzi hizo yuko active JF alikua ananipenda mwenyewe
ningemkubaliaga labda sa hivi ningekuwa natokea tokea kwenye video za WCB lol
Mhhhhhhh naota ama???Juzi tu nilikuwa jijini kwako...narudi next week...tukutane basi tupashe kiporo
Mhhhhhhh naota ama???
Mhhhhhhh naota ama???
poa love... habari za kupasha viporo zimenishtua ujueHey love....mamboz
poa love... habari za kupasha viporo zimenishtua ujue
I love youHutakiwi kuogopa...u are still my number one...believe dat
I love you