glass amo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,645
- 4,330
ndioooo,,,,,,,
kweli hutokea jamn kwakua sio sis tunao panga au tunao taka iwe bali mara nyingi n mipango ya mwenyezi mungu mwenyew alie amua tupitie yote katika maisha,,,,,,,
kuna wakati hufika katika maisha utakuta kila jambo unalo jaribu kufanya au ulo kua uki fanya haliend sawa au kua tofaut na jins ww ulivo taka,,,
kuna muda pia utakua unapitia maisha magumu kias kwamba waweza kuhisi kua ume logwa au una laana kutoka upande fulan wa maisha,
katika yote unatakia kujua kwamba matatizo n sehemu moja wapo ya maisha ya mwanadamu alie hai bado juu ya uso wa dunia na hakuna kiube kisicho kutana na changamooto katika kuish kwake
hapo nazungumza na wale ambao bado kidogo au tayari kwao wamesha kata tamaa kabisa na jambo lile ambalo limekua n jaribu kwao au n changamoto katika kufikia malengo walio jiwekea katika maisha yao,,,,,,,
hakuna kitu kibaya duniani kama kukata na kujiona hufai tena katika maisha, jambo unalo takiwa kujua n kwamba ipo kesho yenye tumain na acha kudhani kwamba ww n mtu wa kushindwa tuu, hapo utakua umejiloga wmenyew
ndio umejaribu biashara na kila aina ya fursa lakin kwako mafanikio yamekua n stori tu, ndio umejaribu kuomba sana lakin mpka sasa umehisi kwamba hakuna jambo au mabadiliko yoyote na labda mungu hakujui,
hapana, ww bado n wathaman sana katika haya maisha na unatakiwa kujua kua hakuna alo kuja dunian kwa baahat mbaya, kila mtu amekua dunian kutimiza kusudi lililo wekwa na mungu juu yake
haijalish n muda gani utachukua kufikia lakin lazima litimie kwan yeye sio kigeugeu na hayo unayo pitia n kama njia au historia inayo jaribu kutengenezwa nae ili kuku weka ww katika mstari unao faa kwan ukipata bila historia yoyte haita kua na maana
haijalish unasemwa na watu wangap juu ya kile uncho pitia, chamsing n kujua kua n wakati wako kupitia hayo na unastahili ili kuijenga kesho imara yenye matumain tele,,,,,
maisha sikuzote n kutambua nafas yako, ukushindwa kutambua ww n nan? na wapi? kwa muda gani, hapo ndipo utakapo pata changamoto ya kutoboa kufikia malengo kwa wakat stahiki,,,
usiyumbishwe na jambo lolote lakimazingira na kuacha kupigania kile unacho kiamini
jambo la msingi n kua na msimamo thabiti na kuendelea mbele,,,,
AHSANTE