inspiration $ motivation

inspiration $ motivation

glass amo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2017
Posts
3,645
Reaction score
4,330
ndioooo,,,,,,,
kweli hutokea jamn kwakua sio sis tunao panga au tunao taka iwe bali mara nyingi n mipango ya mwenyezi mungu mwenyew alie amua tupitie yote katika maisha,,,,,,,
kuna wakati hufika katika maisha utakuta kila jambo unalo jaribu kufanya au ulo kua uki fanya haliend sawa au kua tofaut na jins ww ulivo taka,,,
kuna muda pia utakua unapitia maisha magumu kias kwamba waweza kuhisi kua ume logwa au una laana kutoka upande fulan wa maisha,
katika yote unatakia kujua kwamba matatizo n sehemu moja wapo ya maisha ya mwanadamu alie hai bado juu ya uso wa dunia na hakuna kiube kisicho kutana na changamooto katika kuish kwake

hapo nazungumza na wale ambao bado kidogo au tayari kwao wamesha kata tamaa kabisa na jambo lile ambalo limekua n jaribu kwao au n changamoto katika kufikia malengo walio jiwekea katika maisha yao,,,,,,,
hakuna kitu kibaya duniani kama kukata na kujiona hufai tena katika maisha, jambo unalo takiwa kujua n kwamba ipo kesho yenye tumain na acha kudhani kwamba ww n mtu wa kushindwa tuu, hapo utakua umejiloga wmenyew
ndio umejaribu biashara na kila aina ya fursa lakin kwako mafanikio yamekua n stori tu, ndio umejaribu kuomba sana lakin mpka sasa umehisi kwamba hakuna jambo au mabadiliko yoyote na labda mungu hakujui,

hapana, ww bado n wathaman sana katika haya maisha na unatakiwa kujua kua hakuna alo kuja dunian kwa baahat mbaya, kila mtu amekua dunian kutimiza kusudi lililo wekwa na mungu juu yake
haijalish n muda gani utachukua kufikia lakin lazima litimie kwan yeye sio kigeugeu na hayo unayo pitia n kama njia au historia inayo jaribu kutengenezwa nae ili kuku weka ww katika mstari unao faa kwan ukipata bila historia yoyte haita kua na maana
haijalish unasemwa na watu wangap juu ya kile uncho pitia, chamsing n kujua kua n wakati wako kupitia hayo na unastahili ili kuijenga kesho imara yenye matumain tele,,,,,
maisha sikuzote n kutambua nafas yako, ukushindwa kutambua ww n nan? na wapi? kwa muda gani, hapo ndipo utakapo pata changamoto ya kutoboa kufikia malengo kwa wakat stahiki,,,
usiyumbishwe na jambo lolote lakimazingira na kuacha kupigania kile unacho kiamini
jambo la msingi n kua na msimamo thabiti na kuendelea mbele,,,,
AHSANTE
 
You become what you think
Your thoughts become things
Kila kitu kinaanzia kwenye ubongo mzee hapa ni jinsi tu ya kufikiria ndio huwa tunakosea
 
124f5442a4f13fb9422e27bd314d788c.jpg
 
Natafuta mfadhili wa kunisomesha nje

Msaada wa kufanya ndevu ziote kwa mpangilio mzuri

WanaJF, kwa nini tusiweke mpango wa kusaidiana katika matukio mbalimbali

Bado sielewi kuhusu hili.....
 
Natafuta mfadhili wa kunisomesha nje

Msaada wa kufanya ndevu ziote kwa mpangilio mzuri

WanaJF, kwa nini tusiweke mpango wa kusaidiana katika matukio mbalimbali

Bado sielewi kuhusu hili.....
Mkuu lengo lako ni zuri ila hii nyumba siku hizi tunaishi na mafisi
 
Natafuta mfadhili wa kunisomesha nje

Msaada wa kufanya ndevu ziote kwa mpangilio mzuri

WanaJF, kwa nini tusiweke mpango wa kusaidiana katika matukio mbalimbali

Bado sielewi kuhusu hili.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
NENO.

Neccesita'te et mater envitiorum

[When you become conflict handler,problem solver,psychology striker .YOU ARE GOING TO LIVE PARADISE IN THE WORLD]

Great quote: YOU BECOME WHAT YOU THINK.

UKIANZA AMINI UNAWEZA,ANZA KUJIWEZESHA KWA KUPANGA A2Z YA KILE UNACHODHANIA UNAWEZA-share na mwenzako ikibid(bcoz its greatest way to become immortal & superfast perfomer).

Maji hufuata mkondo(=Mafanikio hufuata jitihada).

You have neither tomorrow(may never come) nor yesterday(lostday won't be replaced again) BUT

NOOOOOOOW!!!
 
Good..very motivational yani kuna kipndi Hasa kile cha mpito baada ya kufanya investment Fulani. Huwa ni kipindi kigumu saana. Yan unataman usinge fanya.

But hatimaye mradi unapoaanza kuingiza pesa unajikuta unafurahia
 
Daaaaah. Nafurah sana kwakunielewa kumbe na we unajua.
 
NENO.

Neccesita'te et mater envitiorum

[When you become conflict handler,problem solver,psychology striker .YOU ARE GOING TO LIVE PARADISE IN THE WORLD]
I cache it.
Thnkx

Great quote: YOU BECOME WHAT YOU THINK.

UKIANZA AMINI UNAWEZA,ANZA KUJIWEZESHA KWA KUPANGA A2Z YA KILE UNACHODHANIA UNAWEZA-share na mwenzako ikibid(bcoz its greatest way to become immortal & superfast perfomer).

Maji hufuata mkondo(=Mafanikio hufuata jitihada).

You have neither tomorrow(may never come) nor yesterday(lostday won't be replaced again) BUT

NOOOOOOOW!!!
 
Natafuta mfadhili wa kunisomesha nje

Msaada wa kufanya ndevu ziote kwa mpangilio mzuri

WanaJF, kwa nini tusiweke mpango wa kusaidiana katika matukio mbalimbali

Bado sielewi kuhusu hili.....
 
Natafuta mfadhili wa kunisomesha nje

Msaada wa kufanya ndevu ziote kwa mpangilio mzuri

WanaJF, kwa nini tusiweke mpango wa kusaidiana katika matukio mbalimbali

Bado sielewi kuhusu hili.....
Betry low????
 
Back
Top Bottom