InstaBrute - Instagram bruteforce exploit module.

Just so you'all know,

HACKING IS RELATIVE. and so are the methods for that.

Kuwa hacker ni kuwa creative katika 'udukuzi', baas. Hakuna njia moja pekee ya ku-hack. Halafu hata ukiipata, kumbuka kila siku watu wenye systems zao wanahangaika kuboresha usalama. Hivyo bas kudhani kwamba utakuwa hacker kwa njia moja, ni upotofu.
First of all, computer is a logical system. A good hacker knows the computer/system as it is. Au kwa urahisi tu, bas unapaswa ujue how things work and find a way to get around. So understanding is important.
Hakuna somo la hacking, kama vile tu hakuna somo la utapeli. Kwa maana kwamba situation huwa ni tofauti kwa kila scenario.
Unaweza uka-hack account hii instagram tofauti na nyingine. Hiyo inatokana na mambo mbalimbali, kama ukaribu wa unayem-hack, ukubwa wa password anayotumia, n.k.
For instance unatumia brute force, the smaller the number of character, the easier it gets.
Hapo utaona, hacking is relative. You may or may not need a particular technique. Mfano, kuna account niliisimamia ambayo ilikuwa ni rahisi kui-hack kwa brute force, with a little patience. Lakini kuna ambayo niliwekeza muda kuipa security ya kutosha. Na zote ni za instagram.
You need to think. Lets say you cant hack an account, lakini you can access email yake huyo mtu, bas its simple tu pale kwenye password recovery. Ikishindikana hapo, you may know a secret question ya email, hivyo itakusaidia ku-hack email. Usipojua jibu la hilo swali, still you may do a little social engineering, kum-manipulate upate jibu, maadam swali unalijua. You see, ways goes on and on until you find a weakness.
Kwa hiyo, hacking is relative. There are unlimited ways for hacking and at the same time none, depending on a situation.
Nadhani hacking ni creativity yako tu katika ku-solve puzzles. Nina-recommend watu wa-solve puzzles mbalimbali, itasaidia.
Speaking of bruteforce, its still relevant, but its effective pale inapotumiwa na other methods kama za social engineering.
So, you wanna be a hacker, THINK!
 
Mshaongea meengi. Haya sie mbugila mbugila tumekuja .

1, naomba kujua kama bruteforce inafanikiwa kwenye 2-factor (2 way ) login, inayohusisha kutuma login code kwa nambari ya simuga muhusika kwa njia ya sms.

2. Pia kuna mafanikia gan kwenye brute force kwa mfano nimetumia a very complex password which is case sensitive , mfano ; w1ndows7-S_1-2016 (hii ni mfano wa password nalitumia kipindi cha nyuma)

3. Linapukuja suala la zile password kukosewa mara tatu inakuaje..

Nb; napenda kujua tu, sina uzoefu na coding na Bahati mbaya INTRODUCTION TO C++ , niliishia kupata C ya kuvukia semester tu.
Mimi ningekushauri uanze na wkipedia: Brute-force search - Wikipedia

Kabla tunamsubiri Graph, mtaalamu wa graph theory, cryptography na advanced IT security engineer.
 
Just so you'all know,

HACKING IS RELATIVE. and so are the methods for that.

Kuwa hacker ni kuwa creative katika 'udukuzi', baas. Hakuna njia moja pekee ya ku-hack. Halafu hata ukiipata, kumbuka kila siku watu wenye systems zao wanahangaika kuboresha usalama. Hivyo bas kudhani kwamba utakuwa hacker kwa njia moja, ni upotofu.
First of all, computer is a logical system. A good hacker knows the computer/system as it is. Au kwa urahisi tu, bas unapaswa ujue how things work and find a way to get around. So understanding is important.
Hakuna somo la hacking, kama vile tu hakuna somo la utapeli. Kwa maana kwamba situation huwa ni tofauti kwa kila scenario.
Unaweza uka-hack account hii instagram tofauti na nyingine. Hiyo inatokana na mambo mbalimbali, kama ukaribu wa unayem-hack, ukubwa wa password anayotumia, n.k.
For instance unatumia brute force, the smaller the number of character, the easier it gets.
Hapo utaona, hacking is relative. You may or may not need a particular technique. Mfano, kuna account niliisimamia ambayo ilikuwa ni rahisi kui-hack kwa brute force, with a little patience. Lakini kuna ambayo niliwekeza muda kuipa security ya kutosha. Na zote ni za instagram.
You need to think. Lets say you cant hack an account, lakini you can access email yake huyo mtu, bas its simple tu pale kwenye password recovery. Ikishindikana hapo, you may know a secret question ya email, hivyo itakusaidia ku-hack email. Usipojua jibu la hilo swali, still you may do a little social engineering, kum-manipulate upate jibu, maadam swali unalijua. You see, ways goes on and on until you find a weakness.
Kwa hiyo, hacking is relative. There are unlimited ways for hacking and at the same time none, depending on a situation.
Nadhani hacking ni creativity yako tu katika ku-solve puzzles. Nina-recommend watu wa-solve puzzles mbalimbali, itasaidia.
Speaking of bruteforce, its still relevant, but its effective pale inapotumiwa na other methods kama za social engineering.
So, you wanna be a hacker, THINK!

Mimi nakubaliana na wewe kuwa hacking inahitaji a combination of skills. Kuhack computer system maana yake lazima ujue inafanyaje kazi, kuhack web au forum kama JF lazima ujue vizuri sana engineering yake hasa backend, namna server zinavyocommunicate na browsers, etc.,. Hacker ni mtu anayejifunza kila siku.
 
Binafsi naamini sana kwenye Social Engineering, maana hapo target akijikoroga tu ameuwawa😀😀. Ni njia rahisi sana hasa kwa kumtengenezea phishing mail za kutosha na fake page nyingi ili akilog in ww unacapture his/ her password., then mchezo umeisha, kwa brute force utatumia mda mrefu sana .
Njia nyingine rahisi na ambazo watu wengi hufanyiwa bila kujijua ni
Eavesdropping
eavesdropping-clipart-pgi0256.jpg

Shoulder surfing
2.png

Dumpster Diving ni njia nyingine tamu sana, ukitupa sisi tunaokota.
48a4b30569c6ad083433f2c73ece7792--dumpster-diving-salad-bar.jpg
eavesdropping-clipart-pgi0256.jpg
2.png

Binafsi naamini sana kwenye Social Engineering, maana hapo target akijikoroga tu ameuwawa😀😀. Ni njia rahisi sana hasa kwa kumtengenezea phishing mail za kutosha na fake page nyingi ili akilog in ww unacapture his/ her password., then mchezo umeisha, kwa brute force utatumia mda mrefu sana .
Njia nyingine rahisi na ambazo watu wengi hufanyiwa bila kujijua ni
Eavesdropping
View attachment 603860
Shoulder surfing
View attachment 603861
Etc
Njia zako za kuvizia mkuu!
 
Tofauti ya IT experts wa bongo hasa wa Tanzania na wale wa quora pamoja na stackoverflow ni kwamba IT wa bongo wao wanaamini kwamba wanajua kila kitu kuliko wenzao na hawawezi kosea!! Na siku zote wanajiweka juu...

Wakati wale wa stackoverflow na quora hata kama anajua basi atakua mpole na kumsikiliza mwenzake na kumrekebisha pale inapobidi tena in a positive way!!! Na hutasikia matusi wala kubehi kati yao...

Hii ndio tofauti ya tech arguments za jf (IT wa bongo) na arguments za wenzetu huko majuu hasa wa quora na stackoverflow!!

Tubadilike watanzania wenzangu wengine tunajifunza humu...
 
kitu ambayo mleta thread alipresent mwanzo ni tofauti na ambacho anakitetea sasa hiv.all arguments zimetokana na mtoa mada kudai unaweza hack intstagram sasa hiv kwa bruteforce.kitu ambacho kwa 2017 ni 100% wrong.
from no where mtoa mada kaanza kuzunguka kuwa hacker akishindwa one way atatafuta another way.Hiyo ni sahihi kuhack instagram kwa other ways like phishing etc etc lakin sio kwa bruteforce ,this is 2017 dude.
Kamwe bruteforce kwa instagram will never work.
 
Just so you'all know,

HACKING IS RELATIVE. and so are the methods for that.

Kuwa hacker ni kuwa creative katika 'udukuzi', baas. Hakuna njia moja pekee ya ku-hack. Halafu hata ukiipata, kumbuka kila siku watu wenye systems zao wanahangaika kuboresha usalama. Hivyo bas kudhani kwamba utakuwa hacker kwa njia moja, ni upotofu.
First of all, computer is a logical system. A good hacker knows the computer/system as it is. Au kwa urahisi tu, bas unapaswa ujue how things work and find a way to get around. So understanding is important.
Hakuna somo la hacking, kama vile tu hakuna somo la utapeli. Kwa maana kwamba situation huwa ni tofauti kwa kila scenario.
Unaweza uka-hack account hii instagram tofauti na nyingine. Hiyo inatokana na mambo mbalimbali, kama ukaribu wa unayem-hack, ukubwa wa password anayotumia, n.k.
For instance unatumia brute force, the smaller the number of character, the easier it gets.
Hapo utaona, hacking is relative. You may or may not need a particular technique. Mfano, kuna account niliisimamia ambayo ilikuwa ni rahisi kui-hack kwa brute force, with a little patience. Lakini kuna ambayo niliwekeza muda kuipa security ya kutosha. Na zote ni za instagram.
You need to think. Lets say you cant hack an account, lakini you can access email yake huyo mtu, bas its simple tu pale kwenye password recovery. Ikishindikana hapo, you may know a secret question ya email, hivyo itakusaidia ku-hack email. Usipojua jibu la hilo swali, still you may do a little social engineering, kum-manipulate upate jibu, maadam swali unalijua. You see, ways goes on and on until you find a weakness.
Kwa hiyo, hacking is relative. There are unlimited ways for hacking and at the same time none, depending on a situation.
Nadhani hacking ni creativity yako tu katika ku-solve puzzles. Nina-recommend watu wa-solve puzzles mbalimbali, itasaidia.
Speaking of bruteforce, its still relevant, but its effective pale inapotumiwa na other methods kama za social engineering.
So, you wanna be a hacker, THINK!

Kwanza, Pongezi kwako!

Pili, Nisaidie kuwaelewesha na watu wengine wanaodai ati kuhack instagram na mitandao mingine katika miaka hii kuanzia 2017 ni kitu haiwezekani.

"Kamwe bruteforce kwa instagram will never work."

Seriously, hacker hawezi kukubali kuwa ameshindwa hata target awe mgumu kiasi gani! Mimi nawasi wasi na hawa watu wanaojitokeza kubishana humu na kuleta point zao ambazo hazina mashiko kabisa!

Mtu eti anargue kabisa kwamba ati bruteforce haiwezekani 2017? Really? Bado anakuambia yeye ni expert wa IT Security? Kwani Instagram wananini cha zaidi cha kushinda huge Web Applications nyingine ulimwenguni?? Kwan wao system zao hazina flaws?

Unataka kuproove kuwa wewe ni IT Security expert kwa contributions zako GitHub? TF? Kwani wangapi wanacontribute mle, that means kwamba hata wao pia ni IT Sec Experts???

I think it's time we reason and think far beyond our nose! Sio kubishana tu, bisha leta na fact.

Bruteforce would never be obsolete, If you are not a hacker or mwenye uzoefu na field hii ya IT Security hutaweza elewa KAMWE! Because hackers wanasit down everyday designing ways how to bypass hizo mnaziita 'secured system'. Ni wazi kuwa hakuna 100% secured system, because hata hivyo zinatengenezwa na hawa hawa wanadamu wenye flaws.

JF Expert mmoja anasema eti,

"kitu ambayo mleta thread alipresent mwanzo ni tofauti na ambacho anakitetea sasa hiv.all arguments zimetokana na mtoa mada kudai unaweza hack intstagram sasa hiv kwa bruteforce.kitu ambacho kwa 2017 ni 100% wrong."

huyu jamaa alipata uexpert huo kwa point za kijinga anazoziandika andika kama hizo? Ni wapi niliposema kwamba unahaweza hack instagram kwa bruteforce tu? Nilitoa tool tu, na ghafla watu kuanza kuponda kwamba huwezi hack instagram kwa bruteforce.

Hajui ya kwamba Instagram ama web app nyingine zinaweza kuhackiwa through a thousand ways moja wapo ni bruteforcing, ambayo nayo ni rahisi na effective unaweza kuapply S.E iliku-make bruteforcing more effective. Sasa hawa raia wengine waliojulia bruteforcing na little-bit hacking juzi kati ndio wanasumbua 'watu' waliotulia zao sahivi wakifanya real-pentests.

Acheni ubishi usio na mantik', kajifunzeni zaidi jinsi ya kuwrite exploits na kubypass 'secured-systems' ndo mje mlete facts hapa.
 
Mimi nakubaliana na wewe kuwa hacking inahitaji a combination of skills. Kuhack computer system maana yake lazima ujue inafanyaje kazi, kuhack web au forum kama JF lazima ujue vizuri sana engineering yake hasa backend, namna server zinavyocommunicate na browsers, etc.,. Hacker ni mtu anayejifunza kila siku.
Thats right!
 
Mimi nina wasiwasi mkubwa na wewe, kwamba wewe ni IT security expert lakini unaamini zinazohackiwa ni websites za kijinga? Au unaamni kuwa system ni imara haziwezi kuwa hacked, kwamba hazina flaws?

Tupe urls za GitHub repositories zako tuone ulichocontribute kwenye security. Acha maneno.

Yule jamaa, naona security aliyoisoma ni ya JF. Basi tuwaachie na JF yao wanayodhani ni very 'secured' . Hivi kunamtu alitegemea kwamba website kama ya HBO inaweza kudukuliwa na ni mwaka huu huu, pamoja na database yao yote kunyonywa na wahuni flani. Hivi unaweza linganisha security intensity iliyokuwa na inayotumika pale HBO na hii ya JF wanayojidai nayo ikiwa hata site yenyewe ni just inatumia XENFORO kama backend system yao, hahaha. HBO mtasema nayo ina'stupid security engineers'? Haha asee aiya naona jinsi gani hawa security engineers wa JF wanaohisi kuwa wako secured zaidi wakitumia hiyo Firewall, IDS na CloudFlare yao, hehe na kujakujitapa huku kwa 'raia wema'.

Ukiwaambia wasome zaidi current issues kwenye security wanakuambia hata wao wanacontribute kwenye GITHUB libraries 'zinazohusiana na security' hehehe duuuh!

Mi sisemi zaidi, ni mtu anasema huu mjadala haumsaidii chochote, na ilhali yeye mwenyewe hana chochote akijuacho zaidi. 'Mtaalam wa Advanced IT Security' yet yeye anasema sasa hivi logins haziwezi kuwa bypassed, dah!

Kaka mimi nakupa Big-up pamoja na wadau wengine ambao wanaonekana kufuatilia current matters zinazohappen katika ulimwengu wa CyberSecurity, sio wengine ambao hawafahamu hata sasa hivi hata IDS zinaweza kuwa bypassed!
 
Kwanza, Pongezi kwako!

Pili, Nisaidie kuwaelewesha na watu wengine wanaodai ati kuhack instagram na mitandao mingine katika miaka hii kuanzia 2017 ni kitu haiwezekani.

"Kamwe bruteforce kwa instagram will never work."

Seriously, hacker hawezi kukubali kuwa ameshindwa hata target awe mgumu kiasi gani! Mimi nawasi wasi na hawa watu wanaojitokeza kubishana humu na kuleta point zao ambazo hazina mashiko kabisa!

Mtu eti anargue kabisa kwamba ati bruteforce haiwezekani 2017? Really? Bado anakuambia yeye ni expert wa IT Security? Kwani Instagram wananini cha zaidi cha kushinda huge Web Applications nyingine ulimwenguni?? Kwan wao system zao hazina flaws?

Unataka kuproove kuwa wewe ni IT Security expert kwa contributions zako GitHub? TF? Kwani wangapi wanacontribute mle, that means kwamba hata wao pia ni IT Sec Experts???

I think it's time we reason and think far beyond our nose! Sio kubishana tu, bisha leta na fact.

Bruteforce would never be obsolete, If you are not a hacker or mwenye uzoefu na field hii ya IT Security hutaweza elewa KAMWE! Because hackers wanasit down everyday designing ways how to bypass hizo mnaziita 'secured system'. Ni wazi kuwa hakuna 100% secured system, because hata hivyo zinatengenezwa na hawa hawa wanadamu wenye flaws.

JF Expert mmoja anasema eti,

"kitu ambayo mleta thread alipresent mwanzo ni tofauti na ambacho anakitetea sasa hiv.all arguments zimetokana na mtoa mada kudai unaweza hack intstagram sasa hiv kwa bruteforce.kitu ambacho kwa 2017 ni 100% wrong."

huyu jamaa alipata uexpert huo kwa point za kijinga anazoziandika andika kama hizo? Ni wapi niliposema kwamba unahaweza hack instagram kwa bruteforce tu? Nilitoa tool tu, na ghafla watu kuanza kuponda kwamba huwezi hack instagram kwa bruteforce.

Hajui ya kwamba Instagram ama web app nyingine zinaweza kuhackiwa through a thousand ways moja wapo ni bruteforcing, ambayo nayo ni rahisi na effective unaweza kuapply S.E iliku-make bruteforcing more effective. Sasa hawa raia wengine waliojulia bruteforcing na little-bit hacking juzi kati ndio wanasumbua 'watu' waliotulia zao sahivi wakifanya real-pentests.

Acheni ubishi usio na mantik', kajifunzeni zaidi jinsi ya kuwrite exploits na kubypass 'secured-systems' ndo mje mlete facts hapa.
Thank you.
Calm down mkuu. Wataelewa tu.
Natamani ningewapa account fulani hapa, niwape challenge watumie exclusively bruteforce. Yaan nawahakikishia haizidi 72 hrs, wanakuwa wameingia.
Instagram haimpi limit mtu kutumia password za zenye caps, number and punctuations. For instance account hiyo nayoizungumzia, ina small cases bas, with 7 characters. Which will take couple of days to crack. Ila with zile security za ku-suspend trials za ku-login, it may take longer, but i assure you, it will take few weeks if you are committed. Sasa ki-takwimu zangu tu, kwenye social media, watu wachache sana wana strong passwords. Hivyo, kama umekomaa ku-hack account fulani kwa bruteforce, all you need is patience (which is a requirement for hacker, trust me!).
Hivyo, bruteforce inakuwa tu more challenged as days go, but still inafanya kazi yake. Hivyo mtu anahitaji tu ubunifu wa sehemu ya kuitumia.
Ila binafsi, mara nyingi i do not use exclusively hiyo bruteforce. I prefer doing analysis first for the account. Mfano, account nilizowahi kuzifanyia makeke nilifanikiwa kutokana kupata data zaidi za huyo mtu. Kuna vitu vidogo watu wanaviexpose bila kujua ni crucial.
So, in short, i think you are right kwamba brute force haijapitwa na wakati. Sema tu as days go, inazidi kuwa less prefered due to time complexity.
 
Tofauti ya IT experts wa bongo hasa wa Tanzania na wale wa quora pamoja na stackoverflow ni kwamba IT wa bongo wao wanaamini kwamba wanajua kila kitu kuliko wenzao na hawawezi kosea!! Na siku zote wanajiweka juu...

Wakati wale wa stackoverflow na quora hata kama anajua basi atakua mpole na kumsikiliza mwenzake na kumrekebisha pale inapobidi tena in a positive way!!! Na hutasikia matusi wala kubehi kati yao...

Hii ndio tofauti ya tech arguments za jf (IT wa bongo) na arguments za wenzetu huko majuu hasa wa quora na stackoverflow!!

Tubadilike watanzania wenzangu wengine tunajifunza humu...

Kwa kweli ulivhokisema ni kweli, tunahitaji kujishusha ili kujua zaidi na zaidi, IT wa Bongo tubadili tabiaa
 
Kama mmeshindwa kuelewa hata concept ndogo ya kitu kilicholeta mabishano haya, nina mashaka hata kama mnayoyaongelea mnayaelewa.
Hakuna ambaye anabisha kuwa kuna system ambayo haiwezi kuwa hacked.
Ila kinachobishaniwa ni kwamba huwezi kuhack secured system kama instagram kwa brute force mwaka huu wa 2017 uhack insta kwa kutumia just brute force.
Tena mwingine naona anasema ndani ya masaa 72 utakuwa umeweza. If it was that simple aisee insta ingepata shida sana...
 
Kwa kweli ulivhokisema ni kweli, tunahitaji kujishusha ili kujua zaidi na zaidi, IT wa Bongo tubadili tabiaa

Ni kweli na ndio maana hata hatusogei katika viwango vikubwa zaidi, because kila mmoja anajiona kuwa yeye ni expert zaidi, na anajua zaidi kuliko wenzake. Ushirikiano == 0%

Mi kiusema kweli napenda sana kujifunza zaidi na zaidi, yani haipiti hata day sijasoma kitu katika field yangu ya cyber sec. At least naweza nikafahamu habari nyingi na mautundu zaidi.
 
Tatizo ubinafsi mkuu
 
Haina haja ya kubishan. Tufanye kusubscribe kwa hu uzi. Alaf wale mahacker mtusaidie kuhack account ya instagram hata ya WEMA SEPETU. alaf mkuje na uthibitisho...

Mana hata hakuelewi. Mara brutefosi mara ukwaju, mara github..

Tupeni vitendo aisee
 
kitu ambayo mleta thread alipresent mwanzo ni tofauti na ambacho anakitetea sasa hiv.all arguments zimetokana na mtoa mada kudai unaweza hack intstagram sasa hiv kwa bruteforce.kitu ambacho kwa 2017 ni 100% wrong.
from no where mtoa mada kaanza kuzunguka kuwa hacker akishindwa one way atatafuta another way.Hiyo ni sahihi kuhack instagram kwa other ways like phishing etc etc lakin sio kwa bruteforce ,this is 2017 dude.
Kamwe bruteforce kwa instagram will never work.
Explain why will never work. Kwa sababu a single guess hata out of trillions ina probability yake ya kupatia kitu. Naamanisha nini? Naamanisha probability ya kuguess password sio zero. Kwa hiyo umepataje hiyo wrong 100% ?
 
Back
Top Bottom