Umechanganya ma file mkuu mambo ya iran hapa yameingiaje au kwa resma leo swaumu kališ¤£Yani Iran na mashia wanawatukana na kuwadhalilisha maswahaba. Iran na mashia wanamuita mke wa mtume Muhammad SAW kahaba. Halafu umma wa uislamu tumekaa tu kimya???
Kim china wadau wanamlalamikia kwa utapeli
Hao ni wauzaji na punda wa drugs. Msifanye mchezo na kutoboa
Punda wa drugs halipwi hela nyingi za kumtajirisha. labda kama hujui biashara ya drugs ilivyo.
hakuna punda hata mmoja anaeenda safari kupeleka mzigo china akalipwa hela inayozidi milioni 15. hakuna.
Upunda hauwezi kukupa hela ya kununua range rover na kujenga majumba kazaa