Instagram inatajirisha sana wadada wajanja. kwa biashara ya Niagize China nikununulie mzigo wako. Wadada wa 2000 wamepindua meza ya kupiga hela

Instagram inatajirisha sana wadada wajanja. kwa biashara ya Niagize China nikununulie mzigo wako. Wadada wa 2000 wamepindua meza ya kupiga hela

Yani Iran na mashia wanawatukana na kuwadhalilisha maswahaba. Iran na mashia wanamuita mke wa mtume Muhammad SAW kahaba. Halafu umma wa uislamu tumekaa tu kimya???
Umechanganya ma file mkuu mambo ya iran hapa yameingiaje au kwa resma leo swaumu kali🤣
 
Shamimu Mwasha alikuwa na NGO'S ,tena motivational speaker ila ngoma ilipobuma mumewe ananyea ndoo huko
 
Kim china wadau wanamlalamikia kwa utapeli

ile Kuweza kumtapeli mtu tu ni kipimo kwamba wewe una akili nyingi.

wafanyabiashara wote ni matapeli wa kimya kimya

Vodacom wanakuuzia GB moja ila uhalisia haitimii ndio maana inaisha haraka haraka

Dawasco wanakuletea bili ya maji elfu 50 kwa mwezi na unalipa huku uhalisia maji uliyotumia hayazidi hata elfu kumi
 
Hao ni wauzaji na punda wa drugs. Msifanye mchezo na kutoboa

Punda wa drugs halipwi hela nyingi za kumtajirisha. labda kama hujui biashara ya drugs ilivyo.

hakuna punda hata mmoja anaeenda safari kupeleka mzigo china akalipwa hela inayozidi milioni 15. hakuna.

Upunda hauwezi kukupa hela ya kununua range rover na kujenga majumba kazaa
 
Acha ubishi bado hujaijua hiyo michezo. Hao wauzaji na wabeba drugs, ingekuwa ni kazi hiyo peke yake basi mademu wote bongo tungekuwa tunasukuma marange
 
Back
Top Bottom