William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
- Thread starter
-
- #221
Babu na wajukuu zake u know....hahahaaaaa....
Hata urembue vipi, hilo sura lishaota makunyanzi.Utakuta hao mabebez wakishapiga picha na wewe wanakung'ong'a kisogoni watakuwa wanakushanga baada ya kukaa na wajukuu kuwasimulia hadithi wewe kazi kupuyanga usiku tu.
Nipeni puto nipelekee wajukuu zangu kuchezea!!!! Such a loose baloon!!!!
Mbona center of gravity Kama hamna kitu?
Nasikia unaishiaga kuchezewa tumbo tu hilo
- uMESIKIA au umepitiwa tayari?
Le Mutuz
Mbona center of gravity Kama hamna kitu?
Nasikia unaishiaga kuchezewa tumbo tu hilo
- Instagram Party Tanzania Tour 2014 juzi imeweka historia mpya ya Sherehe hizo zilizoanza mjini Dar Miezi 2 iliyopita baada ya watu Elfu Tano kufurika Ukumbi wa Jembeni Jembe wa Mjini Mwanza kusherehekea Sherehe hizo ambazo kwa mara ya kwanza zimetoka nje ya mkoa wa Dar kuanza na Mwanza juzi. Wakurugenzi wote 4 wa Instagram Party Tanzania Freddy + Gillsant + Bikira wa Kisukuma na Le Big Show wote walikuwepo kwenye sherehe hizo ambazo zilitumbuizwa na Ben Paul, Shilole, Jokate, pamoja na Wabiro. Sasa sherehe hizo zitakazozunguka Tanzania nzima zinahamia Mbeya. - Le Mutuz
Naona tu umekaa na stimulators halafu hakuna reaction yoyote....
Ushauri Wa bure umri wako hauruhusu kabisa mambo unayofanya we kima mzee...
Huo USO ushajikataa unavyourembua unajidhalilisha tu maana ukiangalia kwa haraka unaweza fikiri msamba Wa mtoto...
Acha mbwembwe wewe, umevizia siku ya sikukuu watu wameenda zao mtoko wa sikukuu na wewe ndo ukachomekea hako kaparty kako, bila hivyo ungeambulia 0