Instagram Party Tanzania Tour 2014 Mwanza Waandika Historia Watu 5,000 Wajitokeza Jembe ni Jembe

Instagram Party Tanzania Tour 2014 Mwanza Waandika Historia Watu 5,000 Wajitokeza Jembe ni Jembe

Acha utani....
used_toyota_vitz_car_2008_for_sale_in_karachi_97970051634847048.jpg
283812_10201149781805880_164794571_n.jpg
[/uQUOTE]
.... Yote haya ni uumbaji wa Mola unajua kama wasingekuwepo watu kama Le Mutuz aka. Le Bilionea, Le Big Show humu duniani watu tungekosa raha jamani so mwacheni tu huyu mtu asiyekua aendelee kuburudisha na kutuondolea ma-stress ya maisha... ha ha ha Le Mburulazz Le Bilionea you know.. a Love It
 
.... Yote haya ni uumbaji wa Mola unajua kama wasingekuwepo watu kama Le Mutuz aka. Le Bilionea, Le Big Show humu duniani watu tungekosa raha jamani so mwacheni tu huyu mtu asiyekua aendelee kuburudisha na kutuondolea ma-stress ya maisha... ha ha ha Le Bilionea you know.. a Love It
Hahahaha
Mungu aendelee kumpa maisha marefu
 
Le mbebez..le mutu ya watuu..tukomeshe babaa..ukimaliza mbeya uje arusha..cc lemutuzzzz
 
Naomba na Dar mfanye nyingine tena kuubwa ya kufungia mwaka
 
Sema ukwelii mi sipendi mwanamke yeyote amkumbatie au kumbusu msukuma wangu, mke wa lemutuz super baharia ana kaziiii asiwe na wivu

Hahahahhahaha
Baharia ndani ya bahari
 

Attachments

  • 1412628038786.jpg
    1412628038786.jpg
    45 KB · Views: 252
Hahahaaaa...uwiiii mbavu zangu...

Yani hawa watoto wanavyomchezea babu yaoooo...ona alivyoweka midomo jamaniii......lol

Sukari ya warembo
 

Attachments

  • 1412628791928.jpg
    1412628791928.jpg
    46.1 KB · Views: 270
Le mkareez katupia uzi afu kautelekeza, naona bado atakuwa anakula mavuno ya Insta Party
 
Le Bilionea anasubiri zifike page 10 ndo aje.. Mukareeezzz Bongo Tambaraareeezz
 
Majirani zetu wanajenga nchi zao sie tuko busy kuparty. Wakibandika picha za maendeleo ya nchi zao tunakuja juu kwa hasira kwa kuwaponda.
 
Back
Top Bottom